LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
Israel waliwaacha mjenge hayo mahandaki, kisha wakasubiri muingie chaka ya kuwachokonoa ili waifute Gaza

Haha
😄 hilo handaki nilikuambia ni wao wamelifukia kuna habari jeshi la Israel lina wa forces wa Palestinian wavae an explosive belt waingie kwenye hio tunnel

Wamewakusanya vijana wa Gaza raia wa kawaida kuwavisha mikanda hio.

Hawajui kwamba kuna vyomba vya habari vimewanasa. Afu hilo tunnel bona wamewapeleka tv WJS hao sio ndio wayahudi wenzao watasema tunnel Israel kalifukia 😄
 
Vita havina macho walisemaga wahenga !!
Sahihi kabisa. Wabongo hawataki kuwa wasahaulifu. Kimsingi hao vijana wetu wamekufa vifo ambavyo hawakustahili. Wamejikuta tu wapo katikati ya mtafaruku wa mahasimu wawili, na hivyo kupoteza maisha.

Kiufupi vifo vyao havina tofauti na kile kifo cha yule binti yetu Aquilina!! Imagine polisiccm walikuwa wanawindana na watani zao Chadema; kisa waliandamana kqndo ya barabara!! Mwisho wa siku akaja kuuwawa binti wa watu aliyekuwa amekaa siti ya nyuma kwenye daladala!! Baada tu ya hizo risasi kumkosa kosa Kamanda mkuu wa chama.
 
Hahahah mapunguani wengi wananasa.
Hivi kwa nini Wayahudi wa Bonyokwa wako Wengi kuliko wale wa Israel. 😄
 
#JoshuaMollel:

👉🏽Ukitazama video mmoja ya wanaoaminika kuwa wauaji anamuuliza Joshua kwa Lugha ya kiarabu kwamba yeye ni mmoja wa kundi la kigaidi la “Al-Shabaab”?

Nina maswali:

1) Kama Hamas wanaamini katika Uislamu wanawezaje kumuua mtu wanayehisi ni Al-Shabaab (Muislamu)?

2) Kwenye video kwa Kiarabu wanasema “Mmetushambulia” yaani Hamas walioenda kufanya Tukio la kigaidi wamwambie Joshua mmetushambulia?

3) 👉🏽Hili swali zito zaidi; vipi wapita njia mtu na mwanamke wake ni waisraeli au wapalestina?

4) Kuna sababu gani nzito Hamas kupambana kumuua Joshua (mtu mweusi) asiyejua kuongea Kihibru wala Kiarabu, waache Waisrael Wapite bila bughudha?

5) Tangu lini Hamas wanaua na kujirekodi sura zao wazi wazi, mbona hawana Chochote kinachowakilisha Hamas? Mateka wote Video za waisraeli tulizoona ni wapiganaji wa Hamas.

Tuache kuwa Mbayuwayu, Mungu ametupa akili tuzitumie jamani, tutafute ukweli, video aliyeirekodi na kuiachia alitaka kupindisha ukweli.

Tutafute ukweli juu ya mauji ya kinyama ya Joshua. Tuishurutishe serikali kutafuta ukweli.
 

Hata uwatete vipi wale hawakutaki, wanachukia sana nyeusi kama ambavyo 'mungu' wako muddy aliwachukia, hivyo wewe usitegemee ipo siku watakuita ukapanue miguu usaidie kuzaliana, ila wanafyekwa kweli...

 

Mpaka sasa mazombi karibia 20,000 yamewahishwa kwa yule 'mungu' wenu muddy, pale Gaza pamefanywa shamba na hakuna kikubwa utafanya hapo zaidi ya kuvaa yale makanzu yenu na kuotesha mindevu na kubwatuma akbar akbar...

 

Sasa hamna sehemu inayoachwa, mahandaki yote mliyochimba yanafumuliwa, yule akbar akbar wenu amewakimbia

 
Hebu wailize waingereza General wao yuko wapi alienda Gaza 😄

Sasa hamna sehemu inayoachwa, mahandaki yote mliyochimba yanafumuliwa, yule akbar akbar wenu amewakimbia

The Al-Qassam Brigades revealed the truth about the Israeli occupation’s announcement of its discovery of a large tunnel belonging to the Izz al-Din al-Qassam Brigades, the military wing of the Islamic Resistance Movement (Hamas), and published a video clip in this regard entitled “You arrived late... the mission was accomplished.”

Al-Qassam explains in the video that the used this huge tunnel once to carry out the Al-Aqsa Flood operation, only last October 7.

Al-Qassam said that this matter “confirms the double failure of the occupation in the glorious October 7 attacks.”

We shoga hilo tunnel walilitumia kwa lengo moja tu kuingia Israel, yani weka akilini na ufahamu wazi Israel anaweza ingiliwa wakati wowote ule hata ajiwekee ukuta na camera havita msaidia.
 
Mpaka sasa mazombi karibia 20,000 yamewahishwa kwa yule 'mungu' wenu muddy, pale Gaza pamefanywa shamba na hakuna kikubwa utafanya hapo zaidi ya kuvaa yale makanzu yenu na kuotesha mindevu na kubwatuma akbar akbar...

Yeah tukana unavyoweza ila ni upumbavu kushabikia vifo vya watoto na wanawake ambao ni 70% ya waliokufa. Nlidhani mnapambana na Hamas kumbe wamama na watoto? Mbaya zaidi jana wameua wakristo wenzetu kanisani hadi Papa Kalaani!

Anyway kwa akili hizi ndio maana nchi yenu imekua failed state kiuchumi na kiusalamq
 
Hata uwatete vipi wale hawakutaki, wanachukia sana nyeusi kama ambavyo 'mungu' wako muddy aliwachukia, hivyo wewe usitegemee ipo siku watakuita ukapanue miguu usaidie kuzaliana, ila wanafyekwa kweli...
Wewe weka magraphic ya kijinga hayo, wenzako wanafanya kweli:

Your browser is not able to display this video.
 
wajomba wa mungu wako wanalambwa kila upande huko:

Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…