LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
Hujitambui kasome thread zangu zote, I'm not a Muslim, nani kakuambia wakristo lazima tupende wayahudi? Mbona Martin Luther aliwachukia wayahudi hadi akaagiza wachinjwe kama panya? Kwani alikua muislam?
Amri kubwa ya Mungu ni upendo, kama humpendi mwanadamu unayemuona unawezaje mpenda Mungu ambaye haonekani?
Kama Martin Luther aliwachukia wayahudi hapo alipotoka tena sana. Hili haliwezi kuwa ni jambo zuri kwa mtu wa Mungu tena mlokole kulisema kana kwamba ni jambo jema.
 
Usilolijua tu nikwamba wapalestine kabla ya hii vita yakishenzi hasa wa hapo ghaza walikua wanaishi kwa misaada
Jengine unadhani kwakua wameharibu majumba ulitaka hamas wafanye nn wakae tu wawaangalie tu wanavyofanya
Israhell watarejelea kwenye hizo ardhi wanazozikalia kwa mabavu ila hawatakaa kwa amani
Maana lijalo linafurahisha maana huko mbele watakula ambush kubwa kuliko hiii
 
Umahiri wake wa kulenga shabaha na kukata vichwa vya watu anapokuwa kwenye uwanja wa vita, ukambadilisha jina lake kwa kupewa jina la Mbwa Mwitu Mwekundu (Red Wolf)

Anaitwa Emmanuel Sinnar, mmoja wa wadunguaji hatari kutoka nchini Ufaransa,

Siku ya juzi, alipiga hii picha kwenye jengo moja bovu sana ambalo alikuwa akifanyia shughuli zake huko kwenye ukanda wa Gaza.

Taarifa rasmi ambazo zimetufikia hivi punde, kamanda huyo ameuliwa asubuhi ya leo na wadunguaji wa HAMAS waliopo kila kona ya Gaza.

Bwana ametoa, Bwana ametwaa 🫵🏻
 

Attachments

  • 4cbe2011-0c55-403b-8534-3d80b0be7f1a.jpeg
    4cbe2011-0c55-403b-8534-3d80b0be7f1a.jpeg
    41.3 KB · Views: 2

Attachments

  • twidown.mp4
    1.5 MB
jana niliona AJ mabosi wa Hamas walikutana mahala kujadili jambo kidogo...hawana wasi wasi hawaonekani kuwaza kitu tabasamu tele naona hao IDF wanakipata pata huko GAZA sema wanajikaza tu kibishi na nahisi yajayo mashoga watalia na kusaga meno
Endeleeni kujifariji wakati Hamas wanazidi kuisha,leo tu mamia wamewahishwa jehanamu wakutane na bikra 72
 
Unayajua magari 700 kweli au unajifurahisha,hao Hamas waendelee kujifariji lakini ni mpaka waishe au wawe raia wema,baada ya miezi7 hamasi itakuwa kama Muslim brotherhood ya Misri.
 
WACHA UTOTO,ingekuwa kweli tangu israel waingie GAZA wanawapiga Hamas tu vita ingekuwa ishaisha...
Hao Hamas kipindi sio kirefu hilo jina wataogopa hata kutamka maana malengo ni kupiga mpaka wachakae na wanapigwa vilivyo,hawatarudia kuchokoza taifa la Mungu
 
Ila wewe jamaa unafurahisha sana. Hivi magari 700 na majengo yaliyoporomosha na kubakia vifusi kipi bora.
Hao Wazayuni wakishindwa vita watarudi kwao kuishi kwenye majumba yao je, hao Hamas wakishinda vita wanaenda kukaa wapi.
Yaani mtu avamie kwako, anakuamrisha weww na familia yako muondoke, anavunja nyumba yako nzuri uliyopambana kuijenga kwa muda mrefu, unaenda kuishi mahema na kusubiria chakula cha msaada halafu unasema huyo aliyekufukuza ana hali mbaya.

Ebu tumia ufahamu wa kawaida tu na muwe na huruma na ndugu zenu katika imani.
We kweli huna akili hayo majumba gharama yake hayafiki 10% Ya hizo silaha, afu si hivyo tu ile Silaha Yasin ikibomoa vifaru au gari la jeshi linawafanya askari walio salimika wakivuta moshi kuwa mashoga kabisa 😄

Majumba watajenga tu je Israel anaweza kuwa na vifaru na magari kama hayo tena sidhani, kwa sababu hali ya uchumi wake inaanguka vibaya sana.

Kweli wanaweza kuwa wameuwa watoto na wanawake na wanaume wasio na hatia wengi , je huo ndio ushindi au ni ujinga?
 
Back
Top Bottom