tutafikatu
JF-Expert Member
- Dec 17, 2011
- 3,327
- 4,624
Jipe moyo mtashinda
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu Malaria 2 na Bwana Utam na genge lao wote ni wana hamas tawi moja lakini cha ajabu taarifa zao zinakinzana sana. Kwa mfano;MARALIA KWELI UNAUMWA MARALIA 🤣🤣😂😂
KILA SIKU UZI ZA KUJIFARIJI KWA AIBU 🤣🤣🤣😂😂
AFU HABARI ZAKO SIZIONI AL JAZEERA NA TV IMAN NA AL ARABIYA...
Pole mdogo wangu 😀Endelea kuota, ukitoka usingizini akili itakaa sawa
Usinilishe maneno kijana mimi sijaleta taarifa nimenukuu taarifaHuyu Malaria 2 na Bwana Utam na genge lao wote ni wana hamas tawi moja lakini cha ajabu taarifa zao zinakinzana sana. Kwa mfano;
Malaria ataleta habari kwamba hamas wamesema hawatoi mateka mpaka israel wasitishe vita mazima (kwamba vita iishie hapo).
Hapo hapo bwana utam nae atakuja kuwaambia kwamba hamas wamesema hakuna vita kusimama mpaka kieleweke.
FaizaFoxy nae atawaletea wanachama taarifa kwamba vita vimeisha hamas wameshinda vita na wamepata ushindi mnono.
Yani ni vurugu tupu, wangekuwa na mtoa taarifa mmoja wa hamas tawi la Tanzania kuliko hivi kila mwana hamas ni mtoa taarifa wanawachanganya wanachama wao.
nilidhani ni video inayoonyesha wanapigwa risasi... baada ya Hamas kuonyesha video ndiyo wakasema wamewapiga risasi kwa bahati mbaya.
Hata wangalioneshwa wanapigwa risasi ungalisema za bandia. Waislam wakiua au kuuuliwa ktk vita vya kupigania nchi yake ni peponi . Asiekuwa muislam yeye moto unamsubirinilidhani ni video inayoonyesha wanapigwa risasi
Wanaukumbi.
TULIJARIBU KUWAWEKA HAI”
"LAKINI NETANYAHU AKASISITIZA KUWAUA”
Baada ya kuwaua kwenye taarifa yao walisema kuwa wameokota maiti zao Gaza, hawakujua kama Hamas walikuwa wanachukuwa video wakati wanawaua.
Hawa mateka walikuwa na Hamas baada ya kuona hawawwzi kutembea nao huku wanapigana wakawambia kutokana na mapigano wajisalimishe wasije kupoteza maisha.
Hamas wakawapa vitambaa vyeupe na wakambia wanyanyue mikono juu waelekee kwa majeshi ya Israel hatua kadhaa tu walipigwa risasi wote baada ya Hamas kuonyesha video ndiyo wakasema wamewapiga risasi kwa bahati mbaya.
BRIGADES YA QASSAM YANASEMA MATEKA WAWILI WA ISRAELI WALIOUAWA NI RAIA WA UFARANSA NA ARGENTINIA.
Israel wanaficha hii habari kuna mengi tutafahamu huko mbele.
Unaishi dunia gani ndugu? Unafuatilia vita vya Gaza?HAO MATEKA WALIFIKAJE HUKO GAZA?
Ulivyokuwa punguani upo JF kupangia watu cha kuandika JF ni jukwa huru usiwe na tabia za kishoga kama haupenda post zangu kaaa mbali nazo shoga weweJuhudi hizi ungezielekeza kwenye uchumi wa nchi ingekua bora zaidi, Ile vita sisi haituhusu!!,mashirika mengi ya meli kwa sasa yanapitisha meli zao thr Cape of Goodhope, je sisi tumejiandaa kuzihudumia hizi meli ili nchi iingize usd?,au ndio kulalama ya Hamas vs Israel
Hao Hamas kipindi sio kirefu hilo jina wataogopa hata kutamka maana malengo ni kupiga mpaka wachakae na wanapigwa vilivyo,hawatarudia kuchokoza taifa la Mungu
lkn tukubaliane moja...hakuna mwana Hamas yeyote aliyepigwa mpk sasaHao Hamas kipindi sio kirefu hilo jina wataogopa hata kutamka maana malengo ni kupiga mpaka wachakae na wanapigwa vilivyo,hawatarudia kuchokoza taifa la Mungu
AsantePole mdogo wangu 😀
waache wamsikilize netanyahu tu,wataisha km nailoni kwenye moto waarabu kwao kufa ni kama sunna,kinachosikitisha wengi wao ni vijana wadogo kwanini wasikimbie!!!Nilipojua amani ni Bora kuliko ushindi,nikawapa ushindi nikabaki na amani.
Waisrael wanyooshe TU mikono juu kuwa wamepigika.
waache wamsikilize netanyahu tu,wataisha km nailoni kwenye mto waarabu kwao kufa ni kama sunna,kinachosikitisha wengi wao ni vijana wadogo kwanini wasikimbie!!!
hata mimi ningekimbia siwezi pigana na mtu nisiyejua yu wapi yaani haonekani