let the caged bird sings
JF-Expert Member
- Sep 19, 2020
- 3,699
- 8,857
Sio kweli mkuu, ni lini nimesema hili? Unaweza quote hiyo post yangu? Nachosema ni wayahudi wa sasa ambao 80% ni Ashkenazi Jews sio original Jews maana wametokana na Caucasians wa huko ulaya mashariki kama khazarians etc.
Hii hoja umeitoa wapi? Hitler aliua wayahudi kama wayahudi sababu ya tabia yao ya kuhodhi mifumo ya fedha, ubinafsi, utapeli, riba kubwa etc so whether wangekua wayahudi original or fake issue ilikua tabia yao ndio iliyowaondoa sio dini wala kabila.
Kuhusu palestinians sikusema ni Jews original ila ndio wenye asili kwenye ile ardhi inayoitwa "palestina au israel". Maana wana wa yakobo walikuta tayari kuna watu wanaishi na wafalme wao. Mfano Jerusalem ilikua na mfalme soma mwanzo 13, kulikuwepo neodachlomer, Sihon, Og bin Hunuk n.k.
Hakuna mahala nimewahi sema hii kitu.... palestinians are palestinians why would they need to be original Jews? Kwanza original Jews walishapotea by 90%. Makabila 10 yalipotea utumwani na kuwa absorbed huko persia, Assyria, Babylonia, Ethiopia so hiyo notion ya "original jews" iondoe kwanza maana wamebaki wachache kama sephardic Jews au Falahasha n.k ambao hawafiki hata 10% ya wayahudi wote duniani.
Sio kweli, hata kwenye biblia Israel ilipoteza identity mfano kipindi cha suleiman walikua na miungu zaidi ya 300, mfano kabila la Dani lilifutwa kwenye biblia sababu ya kuwa na miungu kibao. Sio hivyo tu hata Israel ya leo kuna ushoga wanaukubali je ni tamaduni zao?. Hivi pia unajua 20% ya waisrael ni waislam? So sio kweli wote wame uphold jewish culture.
Hoja yako imejengwa kwenye uongo, umesema kitu ambacho sijawahi sema kokote. Ambacho nimewahi sema OLD Jews wana DNA inayoshabihiana na Palestines wa sasa kuliko ambavyo hao old Jews wana uhusiano na Ashkenazi Jews. Yaani sephardic Jews are closer to palestinians than the so-called Ashkenazi Jews.
SIO KWELI, wayahudi halisi ni 20% ya waliopo hapo middle east the rest are scattered all over the world and have been absorbed in other races. Ila nachokubali nilisema PALESTINIANS ndio ORIGINAL inherits wa CANAANA yaani ardhi inayokaliwa leo na taifa la Israel.
Nje kadogo na Mada chief nifundishe namna ya ku- devide comment kama wewe ulivyofanya hapa kama hutojali,kila nikijaribu nashindwa.
Nb:- namaliza ibada ya Christmas narudi kukupa ushahidi wa maneno yako mwenyewe otherwise.