LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
Hamas wamedai imeuwa Wanajeshi wa Israel Wengi kuliko idadi inayotangazwa na Msemaji wa IDF mh Hagai

Hamas wamesema lengo la Israel ni kuwakatisha tamaa lakini wao wataendeleza kichapo hadi waseme ukweli

Source Al jazeera news
 
1. Vita si lele mama na hakuna mwenye akili zake anayeweza kushabikia vita:

IMG_20231228_142722.jpg

IMG_20231228_142824~2.jpg

2. Kwamba mwendo umekuwa huu?

IMG_20231228_075704.jpg

IMG_20231228_075835.jpg

3. HAMAS wasema, bado hajasema, ya kuwa, ni mpaka aseme:

IMG_20231228_142906.jpg
 
Kikubwa magaidi 100+ kwa siku yanauliwa na vitoto vyao no problem. Netanyahu kasema vita ndio iko 20%
 
MK254 yasemekana beberu ndiye kaondoa maneno mawili yale "full ceasefire."

Sijahangaika kujua nini kinakusumbua, maana kichapo kinaendelea hadi naona huruma kwa mazombi yenu ila mkiacha haya maugaidi ndio mtapona
main-qimg-59203067b5263c40a82fd971fefe35de
 
Sijahangaika kujua nini kinakusumbua, maana kichapo kinaendelea hadi naona huruma kwa mazombi yenu ila mkiacha haya maugaidi ndio mtapona
main-qimg-59203067b5263c40a82fd971fefe35de
Mazombi yanaangamia nikianalia media zinayoongea na wapalestina walio field na picha za maiti ya mazombi afu ukawasikiliza hawa wapalestina wa mchamva wima ni mbingu na dunia
 
Sijahangaika kujua nini kinakusumbua, maana kichapo kinaendelea hadi naona huruma kwa mazombi yenu ila mkiacha haya maugaidi ndio mtapona
main-qimg-59203067b5263c40a82fd971fefe35de

Nisumbuke miye? Mwulize mwenye pendekezo lake.
 
Nisumbuke miye? Mwulize mwenye pendekezo lake.

Namba ya vifo vya mazombi sasa zinachezea kwenye 21,000 zinaelekea 30,000 na mtaacha kuteseka siku mtatia akili na kuacha ugaidi

main-qimg-59203067b5263c40a82fd971fefe35de
 
Mtu aliye laaniwa hawezi kuwa na uwezo wa kukutwanga tu kila siku na miaka yote. Kinyume chake yaweza kuwa sawa mkuu.

Kwani kulaanika kwa mtu huanza au kuisha lini? Au kwa nini unadhani mwuaji fwedhuli anaweza kuwa asiwe kalaanika?
 
Hawa Wayahudi sasa inatosha.... Kwani sisi hamas tumeua idadi kama hiyo? Mbona mnafanya kama Maisha ya Waisrael yana thamani sana kuliko ya Wapalestine? Mpaka sasa mmeua zaidi ya wapale 21,000 na leo tena mmeendelea kuua.

Jamani Irani, Iraq, Yemen, Pakistan, Afgh, Tanzania, Somali, Sudan, Egypt, Morroco mpo wapi? Tunaangamia sisi wenzenu.

Sasa Dunia iamkae iache kuwaogopa hawa Waisrael. Kale ni kanchi kadogo sana. Kadogo sana.
 
Back
Top Bottom