LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
Nasikia wamechanganyikiwa kweli kweli, na wanashika sasa watoto wa kipalestin wanawafunga kwenye vifaru ili Hamasi asivipige au kwenye magari yao
Safari hii watatuambia hiyo six day war waliipiga taifa Gani. Maana vitu viko ki science.

fire is fire not else.
Hiki ni kifaru na hii ni 105 Yassin RPG.
We are control Gaza, show us that's Gaza, it's on our control.
 
Mazayuni Wanacheza kwa furaha kwa sababu kuokoka kwao-uondoaji wa Kikosi cha 450 kutoka Ukanda wa Gaza!

3267733704934515454.jpg.png

Jarida la Wall Street
anasema aliyekua Mshauri wa Usalama wa Kitaifa wa Israeli: H@m@s sasa ina ujasiri wa kukataa mpango wowote ambao hauleti ushindi wa H@M@S.

Source: Al jazeera

3267924435900888641.jpg.png

KAMA SIO MARADHI YA WASIWASI NI NINI?
Je unajua kuwa Mazayuni wengi ndani ya Israeli hawapati usingizi kwa Kuogopa wasije kutokewa na H@m@s kutoka chini ya ardhi na wengine kwa wasiwasi wanasema kama wanasikia sauti ya uchimbaji wa mahandaki chini ya makazi yao!

3267941433838023331.jpg.png

Shirika la Utangazaji la Israeli:
Idadi ya Kesi za ugonjwa wa Akili na Kujiua Inaongezeka Nchini Israeli!
 
Mpaka sasa mshindi wa mapigano ni Hamas. niliwaho kuandika hivi:

Wengi hawajanielewa na hivi nnavyoandika kuwa Hamas wameshinda mapigano, wengi bado hawanielewi.

Naamini 100% mpaka sasa Ushindi mkubwa wa Hamas na Palestina umeshapatikana.

Fikiri midomo na mioyo mingapi leo duniani inatamka Hamas? Fikiri wanafik wangapi leo tumewafahamu duniani?

Fikiri raha ya kufa shjaheed wanayoipitia Wapalestina sasa hivi. Kama hujafa Shaheed utakufa tu, kipi bora? kwa uhakika ni ushindi mkubwa kufa ukiwa Muislam na ni ushindi mkubwa zaidi ukifa Muislam na shaheed.

AlhamduliLlah.
 
Imani nyingine ni zaidi ya uwendawazimu kwakweli.
 
Imani nyingine ni zaidi ya uwendawazimu kwakweli.
Wala si uongo, imani ya kuambiwa na binadamu mwenzio kafuramishwe na mwanamme mwenzio utabarikiwa kanisani unakwenda kufuramishwa. Majanga!
 
Wala si uongo, imani ya kuambiwa na binadamu mwenzio kafuramishwe na mwanamme mwenzio utabarikiwa kanisani unakwenda kufuramishwa. Majanga!
Mimi si fungamani na Imani hizo mbili ambazo Zina waumini wengi hapa nchini. Ila Imani ya kusema kufa shaheed sijui nini, ni zaidi ya uwendawazimu indeed.
 
Safari hii watatuambia hiyo six day war waliipiga taifa Gani. Maana vitu viko ki science.

fire is fire not else.
Hiki ni kifaru na hii ni 105 Yassin RPG.
We are control Gaza, show us that's Gaza, it's on our control.
Hawa uwongo ndio wao hata Hitler walimzulia kauwa sijui karibu million ya hao Majewish. wakati ukifatilia hizo number za majews walio ishi Germany walikuwa wachache sana wakati wa utawala wa Hitler.

vipi awauwe hizo number wakati hata Poland ilikuwa ina majewish kuliko Germany, hizo number walizitoa wapi hata hio ya kuliwa na Hitler hizo number ni uwongo Mtupu🤣
 
Israel imeruhusu Wachamungu wachache Sana wa Kipalestina kuswali kwenye Msikiti wa Al Aqsa leo

Wale wenye viashiria Vya hatari wamefukuzwa kwa kutumia Mabomu ya machozi

Source Al jazeera news
 
Back
Top Bottom