Mazayuni Wanacheza kwa furaha kwa sababu kuokoka kwao-uondoaji wa Kikosi cha 450 kutoka Ukanda wa Gaza!
Jarida la Wall Street
anasema aliyekua Mshauri wa Usalama wa Kitaifa wa Israeli: H@m@s sasa ina ujasiri wa kukataa mpango wowote ambao hauleti ushindi wa H@M@S.
Source: Al jazeera
KAMA SIO MARADHI YA WASIWASI NI NINI?
Je unajua kuwa Mazayuni wengi ndani ya Israeli hawapati usingizi kwa Kuogopa wasije kutokewa na H@m@s kutoka chini ya ardhi na wengine kwa wasiwasi wanasema kama wanasikia sauti ya uchimbaji wa mahandaki chini ya makazi yao!
Shirika la Utangazaji la Israeli:
Idadi ya Kesi za ugonjwa wa Akili na Kujiua Inaongezeka Nchini Israeli!
Muvi toka kwa director wa filamu wa hamas kitengo cha propaganda😂🤣 dah ila sio poa wapalestina zaidi ya 21,000 wamekufa allah yupo wapi jamani mbona wapalestina wanazidi kuuwawa allah haoni au?
Historia inaonesha wayahudi wa Israel kila waliposhambuliwa na wanamgambo wa Hamas walilipiza kisasi papo kwa papo bila kusubiri. Nini kilichwafanya safari hii "wajipange" kwa muda mrefu na huku wanadai kuwa watu wao wengi wametekwa? Jibu ni jepesi sana; Hamas ndiyo walioshambulia na katika...
www.jamiiforums.com
Wengi hawajanielewa na hivi nnavyoandika kuwa Hamas wameshinda mapigano, wengi bado hawanielewi.
Naamini 100% mpaka sasa Ushindi mkubwa wa Hamas na Palestina umeshapatikana.
Fikiri midomo na mioyo mingapi leo duniani inatamka Hamas? Fikiri wanafik wangapi leo tumewafahamu duniani?
Fikiri raha ya kufa shjaheed wanayoipitia Wapalestina sasa hivi. Kama hujafa Shaheed utakufa tu, kipi bora? kwa uhakika ni ushindi mkubwa kufa ukiwa Muislam na ni ushindi mkubwa zaidi ukifa Muislam na shaheed.

Mimi si fungamani na Imani hizo mbili ambazo Zina waumini wengi hapa nchini. Ila Imani ya kusema kufa shaheed sijui nini, ni zaidi ya uwendawazimu indeed.
Hawa uwongo ndio wao hata Hitler walimzulia kauwa sijui karibu million ya hao Majewish. wakati ukifatilia hizo number za majews walio ishi Germany walikuwa wachache sana wakati wa utawala wa Hitler.
vipi awauwe hizo number wakati hata Poland ilikuwa ina majewish kuliko Germany, hizo number walizitoa wapi hata hio ya kuliwa na Hitler hizo number ni uwongo Mtupu🤣
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.