GUSA ACHIA BAHASHA GOLI
JF-Expert Member
- Apr 19, 2023
- 5,110
- 7,349
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waisrael wataendelea kulia.Vinginevyo hatutakubaliana na mkataba hii, anesema Osama
Hapa hatuombi kura Msata 😀Hii nayo ni thread? Unazidiwa nyama na kichwa cha habari.
Wavaa vipedo, misuli na makobazi walipoanzisha chokochoko walijua ingekuwa rahisi? Halafu wanakuja wapalestina wa mchongo toka Buza kwa mpalange wanadai vita iendelee🤣Hamas wameiomba Misri iweke kipengele cha kusimamisha Vita moja kwa moja kwenye mkataba wa Amani waliouandaa
Vinginevyo hatutakubaliana na mkataba hii, anesema Osama
Source Al jazeera news
Kesho UNO wanasema whitish kikao kuwakea vikwazo Hamas kwanini wanawapiga Isreal. Dunia imejaa unafiki. Mzungu si wa kumuamini hata dakikaKichapo cha leo ni kikali, kilikuwa kinatokea kila upande.
Hamas, Hezbollah na Wayemeni wamewashushia mazayuni makombora kutokea pande saba tofauti kwa masaa matatu mfululizo huko vilima vya Golan.
Hawajala kichapo kikali kama cha leo tokea siku waliyochapwa na Hamas 7/10. Wapalestina wansema wanaisafisha Golan na Kaskazini ya Lebanon kisha wanaingia tel Aviv, wamewaambia waagize risasi za iron dome kwa wingi, walizonayo hazitoshi kuwazuia kutandikwa. Jionee kichapo walichochezea:
View attachment 2857703
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Sawa ki bibi kizee