LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
‘825 Military Israeli Vehicles Destroyed’ – Resistance Roundup – DAY 83

December 28, 2023

On the 83rd day of the Israeli war on Gaza, the military spokesman for the Al-Qassam Brigades, Abu Obeida issued a statement, announcing the destruction of 825 military vehicles since the start of the war.

For Abu Obeida’s latest pre-recorded message, click here.
 
Vita havisimami, labda vitasitishwa kidogo tu ili wakabidhi mateka ila kipigo kinakwenda mpaka kuleeee!!!!
 
Vinginevyo hatutakubaliana na mkataba hii, anesema Osama
Waisrael wataendelea kulia.
20231229_225406.jpg
 
Hamas wameiomba Misri iweke kipengele cha kusimamisha Vita moja kwa moja kwenye mkataba wa Amani waliouandaa

Vinginevyo hatutakubaliana na mkataba hii, anesema Osama

Source Al jazeera news
Wavaa vipedo, misuli na makobazi walipoanzisha chokochoko walijua ingekuwa rahisi? Halafu wanakuja wapalestina wa mchongo toka Buza kwa mpalange wanadai vita iendelee🤣
 
Kichapo cha leo ni kikali, kilikuwa kinatokea kila upande.

Hamas, Hezbollah na Wayemeni wamewashushia mazayuni makombora kutokea pande saba tofauti kwa masaa matatu mfululizo huko vilima vya Golan.

Hawajala kichapo kikali kama cha leo tokea siku waliyochapwa na Hamas 7/10. Wapalestina wansema wanaisafisha Golan na Kaskazini ya Lebanon kisha wanaingia tel Aviv, wamewaambia waagize risasi za iron dome kwa wingi, walizonayo hazitoshi kuwazuia kutandikwa. Jionee kichapo walichochezea:

View attachment 2857703
Kesho UNO wanasema whitish kikao kuwakea vikwazo Hamas kwanini wanawapiga Isreal. Dunia imejaa unafiki. Mzungu si wa kumuamini hata dakika
 
Asante kwa taarifa. Bado tunafanyia uchunguzi kutokana na habari zako kukosa ukweli siku hizi. Bora hata ndg yako Alwaz anajitahidi kubalance.
 
Back
Top Bottom