Kichapo cha leo ni kikali, kilikuwa kinatokea kila upande.
Hamas, Hezbollah na Wayemeni wamewashushia mazayuni makombora kutokea pande saba tofauti kwa masaa matatu mfululizo huko vilima vya Golan.
Hawajala kichapo kikali kama cha leo tokea siku waliyochapwa na Hamas 7/10. Wapalestina wansema wanaisafisha Golan na Kaskazini ya Lebanon kisha wanaingia tel Aviv, wamewaambia waagize risasi za iron dome kwa wingi, walizonayo hazitoshi kuwazuia kutandikwa. Jionee kichapo walichochezea:
View attachment 2857703