LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
Kichapo cha leo ni kikali, kilikuwa kinatokea kila upande.

Hamas, Hezbollah na Wayemeni wamewashushia mazayuni makombora kutokea pande saba tofauti kwa masaa matatu mfululizo huko vilima vya Golan.

Hawajala kichapo kikali kama cha leo tokea siku waliyochapwa na Hamas 7/10. Wapalestina wansema wanaisafisha Golan na Kaskazini ya Lebanon kisha wanaingia tel Aviv, wamewaambia waagize risasi za iron dome kwa wingi, walizonayo hazitoshi kuwazuia kutandikwa. Jionee kichapo walichochezea:

View attachment 2857703
Hivi huwa unajaribu kuangalia hizo video kabla ya kuzipost? Ulichoandika na video ni vitu tofauti.
 
Kichapo cha leo ni kikali, kilikuwa kinatokea kila upande.

Hamas, Hezbollah na Wayemeni wamewashushia mazayuni makombora kutokea pande saba tofauti kwa masaa matatu mfululizo huko vilima vya Golan.

Hawajala kichapo kikali kama cha leo tokea siku waliyochapwa na Hamas 7/10. Wapalestina wansema wanaisafisha Golan na Kaskazini ya Lebanon kisha wanaingia tel Aviv, wamewaambia waagize risasi za iron dome kwa wingi, walizonayo hazitoshi kuwazuia kutandikwa. Jionee kichapo walichochezea:

View attachment 2857703
Mzee mwenzangu we ni Tasa??
 
Vita vya Gaza na Palestina kwa jumla vimeibua mambo mengi tuliyokuwa hajtuyajui.

Jeshi lisilokuwa na silaha na idadi yao ni ndogo limejiamini kupigana na jeshi kubwa linalosifika duniani na kulitia hasara.

Mengine kati ya mengi ya kushangaza ni akinamama wa kipalestina wanapgwa na kufukiwa kwenye kifusi wakiinuka juu ama wamekufa au wako hai wamefunikwa na ushungi wengine wanaita hijabu. Hata hawaonekani kuwa na huzuni mpaka sura zao zikawa matimutimu.

Mimi binafsi natamani sana nikaongeze mke wa nne ili nisaidie kulea mayatima. Najua kuna wajane wengi na mayatima wengi wao wamebaki makambini hata ndugu zao hawajulikani baada ya ukoo mzima kuangamizwa.
1704006628157.png

1704006733553.png

1704006792386.png

1704007413721.png
 
Vita vya Gaza na Palestina kwa jumla vimeibua mambo mengi tuliyokuwa hajtuyajui.

Jeshi lisilokuwa na silaha na idadi yao ni ndogo limejiamini kupigana na jeshi kubwa linalosifika duniani na kulitia hasara.

Mengine kati ya mengi ya kushangaza ni akinamama wa kipalestina wanapgwa na kufukiwa kwenye kifusi wakiinuka juu ama wamekufa au wako hai wamefunikwa na ushungi wengine wanaita hijabu. Hata hawaonekani kuwa na huzuni mpaka sura zao zikawa matimutimu.

Mimi binafsi natamani sana nikaongeze mke wa nne ili nisaidie kulea mayatima. Najua kuna wajane wengi na mayatima wengi wao wamebaki makambini hata ndugu zao hawajulikani baada ya ukoo mzima kuangamizwa.
View attachment 2858156

View attachment 2858157

View attachment 2858162
View attachment 2858192
Nenda kaowe tu!
 
Natanyau ni katika mazayuni, ambao hawana asili ya Kiyahudi, ni Wazungu wanaoamini nguvu za kiza (Dark World) waliofukuzwa na Wakristo wa Ulaya.

Mazayuni ukiisoma historia yao ni watu wasioamini Mungu na wanaoamini nguvu ya kiza (Dark World), wengi wao kutokea Ulaya mashariki ambako kwa sasaa ni Urusi na Ukraine. Walifukuzwa huko na "Christian Orthodox na kwa kutumia akili ya kuwazuga Wakristo wakajifanya wao ni wajomba zake Mungu yaani asili yao ni mayahudi. Ukweli ni kuwa hawana Uyahudi hata walipoforce kutumia poesa nyingi kuwapata wanawake wa kiyahudi na kuzaa nao huko Ulaya, bado hawahisabiki kuwa ni wenye asili ya Kiyahudi. Ukitaka kuelewa historia yao zaidi, niulize tu.

Leo jionee kilichotokea huko nyumbani kwa netanyau:

Hivi sasa siyo siri tena, Kuna ushahidi wa kutosha kuwa mnamo october 7, jeshi la Israel IDF lilihusika pakubwa kuua wananchi wake wenyewe. Mashuhuda waliokuwepo hapo wanasema kifaru na Helcopter ya jeshi la Israel vilikuja na kuanza kupiga, kitu kilichopelekea vifo vya raia wengi sana wa Israel siku hiyo.

Hii inaonyesha kuwa jeshi la Israel linatekeleza Hannibal doctrine, inayosema kuwa Kama kuna mateka wa Kiisrael amashikiliwa basi jeshi linaweza kuua adui na mateka wake.

Video hii hapa:

View: https://www.youtube.com/watch?v=aBxDp15fOuE&ab_channel=TheElectronicIntifada
 
Vita vikalli vinavyoendelea kaskazini ya Gaza vimepelekea askari wa Israel kuuwana wenyewe kwa wenyewe ambapo jumla ya askari 25 wamekufa.
chanzo:aljazeera
Ama kweli Hamas wangekuwa maporini au mapangoni Israele ingekuwa imefutika mapema
Na hapo jangwani na kwenye magofu walipo wangekuwa na chakula na maji basi hata kwa ngumi wangemaliza kazi.
 
Niliona habari kama hii na idadi hii hii mwez October 2023. Imejirudia au?

Vita vyenye ushabiķi hivi sio mchezo kabisa!
 
Back
Top Bottom