LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums

Niliona habari kama hii na idadi hii hii mwez October 2023. Imejirudia au?

Vita vyenye ushabiķi hivi sio mchezo kabisa!
Kwa threads za wajahidina humu a.k.a Muhammadan Israel keshafutika kabisa kwenye ulingo wa Dunia maana kila siku wanapigwa na kuuawa.

Hawa wapalestina wa Jambiani wanawaua Waisrael humu jF sio Mchezo. 😀😃😄😁😆😅
 
Allahu Akbar
Khaa!
Maelfu ya askari wanaondoshwa Gaza katika kasi isiyo ya kawaida
Tangazo hilio la Israel wanasema ni kutokana na kwamba kwa sasa mapigagano yapo mji mkuu wa Khan Younis na kule Gaza ya kaskazini tayari Israel inakaribia kuwa na udhibiti wa eneo hilo.

Israel is pulling thousands of troops from Gaza as combat focuses on enclave's main southern city


1704117772258.png
 
Hamna lolote hao wamekimbia afu wanajidai North Gaza wapo wameisha iteka 😄 labda Gaza ya Netanyahu sio hio Gaza tunayo ifahamu sisi?
 
Nachojua walileta jeshi soft kuanzia tah 7 inaingia in full brigade tev hiyo ya makomando kuipiga gaza maana wakazi wengi wako pemnezoni
 
Wanapelekwa kukiwasha mpakani na Lebanon kuna chokochoko ya wale jamaa wanaoungwa mkono na Iran
 
Hatar sana Hamasi,solution ni mataifa mawili guru palastina na israel jambo Ambali israel hawataki kusikia nahofu hali hii ni ya kutisha ni mauaji ya kimbari
 
Hamas wameshinda tayari. Njooni tumshangilie Allah.
Kwani we unadhani Mabillion ya US na Ya Western yameishia wapi si yamechomwa na Hamasi ohh sisi tunaifuta Hamasi oh sisi tutaitawala Gaza oh sisi oh sisi.

Pale haiwezekani kuna wanaume pale mlidhani mkiwa fanyia sanction za kila aina mtashinda, kelele nyingi kila siku tumeingia makao makuu ya Hamasi oh Hamasi hawezi rusha missiles tena oh Hamasi tutawazamisha kwa maji ya bahari.


View: https://youtu.be/qw2E6hx5j48?si=cc4dHnXTkkqESA5S

Myahudi anasema Yesu hakuwa hata Mtume, wacha kuwa Mungu.
 
Hamas jana saa sita kamili za usiku waliwatumia mazayunini salaam za mwaka mpya Tel Aviv., mazayuni kwa kupenda kwao starehe wakaona ni fashfash za za sherehe mpaka walipoona zinawaripukia:




Yel Aviv wameshapewa taarifa na Hamas, kuwa sasa hakuna kulala usiku, ni sherehe tu kwa kwenda mbele, wazisubiri na leo.
 
Vijana wa Hamas wameishusha drone nyingine ya mazayuni na wanasema tayari wameifanyia "reverse engineering" na hazitowapa shida tena:

 
  • Thanks
Reactions: ITR
Wanapiga ukuta waonyeshe kama Hamasi anauwa kabisa, hiyo kupiga risasi hata watoto wadogo wanaweza piga vile jwenye hewa😄
 
Hii mazayuni wanakandwa zawadi ya mwaka mpya zero distance:

 
Back
Top Bottom