LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
Mungu awangamize israel kwa unyonyaji wanaofanya
 
Saudi Arabia: Israel Wana haki ya kuilinda nchi yao

😂😂😂😂😂🔥🔥🐼🌟
 
Waislamu mnaona mnafurahi sana.

Sasa kichapo kimeanza huko, msianze kulia. Ukiona vipi, panda mwewe kawasaidie nduguzo katika imani.

Anayecheka mwisho hucheka zaidi.
 
Ili huu mgogoro uishe ni lazima mmoja aondoke kwenye hiyo ardhi either muisrael au mfilisti.
 
Waislamu mnaona mnafurahi sana.

Sasa kichapo kimeanza huko, msianze kulia. Ukiona vipi, panda mwewe kawasaidie nduguzo katika imani.

Anayecheka mwisho hucheka zaidi.
Sio kila shabiki wa Palestina ni muislam,
 
Waafrika mngekua mnawajua hao Waisrael tabia zao msingejipendekeza kwao maana wao hawawatambui kama ninyi ni binadamu...
Hata hao wapalestina wanajifichia dini Ili kupata huruma hamna mtu wa mungu yeyote anaesema anafanya hivi na Allah au mungu atambariki
 
Sasa Wapalestina wamekatiwa Huduma za Mafuta na Chakula

Hii ni zaidi ya Vita sasa duh!
Ungekuajiuliza kama gaza strip iko under Israel surveillance je silaha wamepataje? Kama silaha zimeingia na chakula kitaingia. Hakuna kitu hapo
 
Wameanza kulionja joto la jiwe. Wamejikunja kama panya kwenye mashimo, wanajambajamba hovyo hapo.
Humu hatufahamiani imani zetu, mtu anaweza shabikia kitu ukadhani ni wa imani ile kumbe pagani kabisa.

Nikiwa chuo kikuu sitasema ni wapi, tuliwahi kuwa kweny mjadala kuhusu Palestine na Israel, msimamo wangu ilikuwa ni suluhisho nchi moja utawala moja ila maeneo mengine yapewe hadhi ya mamlaka maalum

Ila sasa wafia dini, ambao sio hata raia wa Palestine hawataki hilo, wao wanataka vita na kuchinjana kuendelee, Palestinians hawana uwezo hata wakiungana na Iran wa kuondoa Israeli pale walipo na huo ndio ukweli

Wakiendelea kuvimbishwa na mataifa jirani ya kiislam, watajikuta wanapoteza kila kitu siku hadi siku.
 
Sio kila shabiki wa Palestina ni muislam,
Asilimia kubwa ni waislam, wanawatetea ndugu zao katika imani. Huoni bibie FaizaFoxy ameshaweka kambi humu, amekuwa kama yule mwamba wa zama za Saadam Hussain kuke Iraq 🇮🇶
 
Kwa kweli ni tukio ambalo limeacha maswali mengi juu ya Vyombo vya Ulinzi na Usalama vya Israel!
Israel ambayo kwenye maswala ya Inteligensia ni moja ya nchi bora duniani,imeshangaza dunia kuvamiwa kirahisi namna hiyo!
Magaidi wa Kipalestina wamepenyaje mpaka kuingia ndani ya Israel na kuanzisha mashambulizi?
 
Asilimia kubwa ni waislam, wanawatetea ndugu zao katika imani. Huoni bibie FaizaFoxy ameshaweka kambi humu, amekuwa kama yule mwamba wa zama za Saadam Hussain kuke Iraq 🇮🇶
Sio kweli Nyerere alikua upande wa Palestine na alikataa kuweka ubalozi hapa wa Israel zipo Nchi nyingi Afrika zinatofautiana kuhusu huo mgogoro bila kujali imani zao hao SA hawataki hata kuwasikia Waisrael ila Nchi ina wakristo wengi...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…