Gol D Roger
JF-Expert Member
- Sep 16, 2023
- 2,316
- 6,082
Yaan hawa wenzetu bhana tokea wapo wadogo wanafundishwa wakristo ni maadui zako.Kama umeshindwa kuthamini wamaasai ulionao jirani tena ndani ya nchi moja, na kuamua kuwalinganisha na Israeli kwamba hawana ardhi ni wahamahamaji tu basi nyie ndio wale waislam wapumbavu wanaofikiri kwamba mna uwezo wa kuondoa Israeli pale walipo.
Waislam shida hipo sehemu, acheni kuwaumiza na kuwaua ndugu zetu wapendwa wapalestine kwa kuwadanganya na silaha, sasa leo nendeni katika umoja wenu mkawasaidie si ndio mliwadanganya nyie wajinga.
Wanaokufa na kuutahabika pale ni wapalestine sio wairan, saudia, nk. Saizi wote mko nyuma ya keyboard zenu, ila watu wa Gaza wamezingirwa mda huu, na hii ni baada ya kudanganywa na ndugu zao jamani.
Huwez kuta kitoto cha kikristo kinafundshwa waislamu maadui zako, zaidi ya kufundishwa kwamba wapende waislamu kama unavowapenda wakristo wenzako.
Wamejijengea imani kwamba kuua wakristo na wayahudi ndo wanamfurahisha mungu wao na the best way ya kuingia peponi ni kufa na wakristo.
Sijawahi kuona dini inayopenda kueneza chuki na kumwaga damu kama hii.
Wanamsemo wao ule "Behead the kafir"