LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
Kwa hiyo yesu sio mungu tena?
 
Ukae ukijua wayahudi ni jino kwa jino watawamaliza waislamu, Yani ukiangalia pichq za Gaza ni mji umekuwa kifusi
Hilo jino kwa jino mbona hawakulionesha kwa Hitra aliye wauwa kama inzi?
 
wewe Jamaa hujui kuwa Ukristo ulikuwa Dhehebu la dini ya kiyahudi na Biblia ya agano la kale inatumiwa na Wayahudi
Lini Wayahudi waka amini Bible na Ukristo hali ya kuwa wanaamini yesu ni mtoto haramu wa mzinufu na sio nabii wa mungu?
 
Lini Wayahudi waka amini Bible na Ukristo hali ya kuwa wanaamini yesu ni mtoto haramu wa mzinufu na sio nabii wa mungu?
kwani lazima watu wote waamini unachoaamini kwenye dini yako?

Mbona Wakristo hawamuamini Muhamad
 
Hilo jino kwa jino mbona hawakulionesha kwa Hitra aliye wauwa kama inzi?
Ndio anawaonesha waislamu sasa , au hupendi magaidi maislamu yanavyo fanywa kule Gaza , yanauliwa mpaka matoto njiti
 
kwani lazima watu wote waamini unachoaamini kwenye dini yako?

Mbona Wakristo hawamuamini Muhamad
Sasa ww si ndo umesema kuwa Wayahudi wana amini Bible ndo maana nikakuelimisha kuwa hakuna uhusiano wa kiimani kati ya wayahudi na wakiristo.

Hapa duniani hakuna wayahudi wakiristo lakini kuna Wayahudi kibao ambao ni waisilam.
 
Nyio Elimu dunia imewaacha

Ukirsto na Uyahudi umetangana rasmi mwaka 300AD

Wakati wa Second temple kulikuwa na Madhehebu 5 ya uyahudi
1. Pharisees (Wafarisayo),
2. Sadducees (Wasedukayo)
3. Essenes
4. Zealots,
5. Wafuasi wa Yesu Kristo (Yesu wa Nazareth) - Early Christians

Baada ya Hekalu kubomolewa makundi mawaili tu yalibaki, Wakristo na Mafarisayo - Rabbinic Judaisim
 
Acha hadithi za abunuasi Wayahudi hawajawahi kuwa na uhusiano na Ukristo kwa sababu walikataa yesu baada ya yesu kuzaliwa tu na mwisho wa siku wakafanya kila figisu akauawa.
 
Acha hadithi za abunuasi Wayahudi hawajawahi kuwa na uhusiano na Ukristo kwa sababu walikataa yesu baada ya yesu kuzaliwa tu na mwisho wa siku wakafanya kila figisu akauawa.
Jamaa hata kwenye Biblia inasema Yesu alikuwa Myahudi na baadhi ya Wafarisayo walimkubali Yesu, mfano Mtume Paulo, alikuwa Mfarisayo
 
Jamaa hata kwenye Biblia inasema Yesu alikuwa Myahudi na baadhi ya Wafarisayo walimkubali Yesu, mfano Mtume Paulo, alikuwa Mfarisay
Yesu alikuwa myahudi lakini wayahudi wenzie walimkataa baada ya kuzaliwa kwake na kumuita mtoto haramu.
Sasa hapo usicho kielewa ni kipi au kisa yesu alikuwa myahudi basi tiyari nyinyi na dini ya kiyahudi mmesha kuwa na uhusiano?
 
Wewe jamaa una kichwa kigumu sana, kwani Katika hadithi za mtume hasemi kuwa Wakuraishi walimkataa?
Hadi wakasema ana mapepo?
 
Hv viclip uchwara vya kuungaunga Masjid tutoleee apa
 
Wewe jamaa una kichwa kigumu sana, kwani Katika hadithi za mtume hasemi kuwa Wakuraishi walimkataa?
Hadi wakasema ana mapepo?
Wakuraish walimkataa lakini kadili siku zilivyo kuwa zinaenda walikuwa wanaelewa mafundisho yake na kuingia kwenye Uislam na ndio maana % 97ya waarabu ni waisilam , lakini wayahudi walimkataa yesu mazima na ndio maana mpaka sasa hakuna myahudi anaye amini katika ukrisito hata mmoja duniani .
 
Sawa safari mmejitahidi lakini kipigo kinakuja

View: https://youtu.be/210puXqyDsE?si=QvouaFOPFyiytisM
Ila mazayuni balaa wamewawahisha viongozi wengi wa wapalestina mavumbini doh!
  • Yahya Ayyash, the group’s alleged chief bomb maker – dubbed “the engineer” -who was assassinated in 1996 with a booby-trapped mobile phone.
  • Salah Shehadeh, among the founders of Hamas’s Qassam Brigades, who was killed in 2002 when F-16 warplanes bombed his house, burying him and at least 11 other Palestinians, including seven children, beneath the rubble of a four-storey block of flats.
  • Sheikh Ahmad Yassin, the wheelchair-bound co-founder of Hamas, who was assassinated by an Israeli helicopter gunship in 2004.
  • Abd Al-Aziz al-Rantisi, a co-founder of the group, who was assassinated in an attack on his car in 2004.
  • Leader of the military wing Nabil Abu Selmeya, who died along with his wife and seven sons and daughters aged seven to 19 in 2006, in an attack on a residential building near Gaza City.
 
Haraka

Waziri wa Ulinzi wa Israel: Ikiwa hatutapata ushindi katika Vita vya Gaza, hatutaweza Kuishi Mashariki ya Kati.

Source
kama inavyo onekana hapo
 
Israel yafanya shambulio la kigaidi Beirut na kumuua moja viongozi wa HAMAS Saleh al-Arouri,
Saleh al-Arouri alikuwa Naibu Rais wa HAMAS, na kiongozi Mkuu wa hamas katika eneo la West Bank huko gaza.
Saleh al-Arouri ameisha wahi kukamatwa zaidi ya mara nane na jeshi la Israel, na ameisha wahi kufungwa kwa miaka zaidi ya 18 kabla ya kuachiwa huru na kuamua kuondoka gaza. Mara ya mwisho kuishi gaza ilikuwa mwaka 2010 na hakuwa kurudi baada ya hapo.
Kikundi cha kishia cha hizbollah kilionya Israel kuwashambulia raia wa nchi yeyote ile walioamua kwenda kuishi Lebanon, huenda ugaidi huu unafanya vita ya israel kutanuka zaidi na kuwa sio vita ya gaza pekee bali na makundi mengine nje ya gaza kuingilia.
Wakati hili likiendelea waziri Mkuu wa israel amewataka Mawaziri wake wasiseme chochote, hata hivyo Washington Post imeripoti mda machache uliopita kuwa israel ndio imefanya shambulio hilo.
Wachambuzi wa masuala ya kisiasa wanadai kuwa , Netanyahu anajaribu kutafuta ushindi baada ya kushindwa kufikia malengo ya vita kule gaza hadi sasa ili kupunguza msukumo wa raia wa israel dhidi yake ili kuendelea kutetea kitivo chake.
 
Attachments

  • images (31).jpeg
    80.1 KB · Views: 3
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…