LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
Your browser is not able to display this video.

Source: TRTWORLD

Kama muonavyo clip ya mama mtu mzima, akisukumwa na kuanguka hadi chini, huu sio ubinadamu haswaa, huu ushenzi wanaoufanya mazayuni dhidi ya wapalestina kamwe huwezi kukuta Hamas’s wakifanya.

Aliemsukuma mama huyo ni mwanajeshi wa kizayuni mwenye asili ya uafrika, kama mnavyoona akifanyiwa ukatili huo.

N:b Unawezaje kuwasapoti na kuwaunga mkono watu hawa wasio na utu, wala huruma kwa binadamu wenzao, hawaheshimu imani za wengine n.k! Kuna unyama mwingi sana wakiwafanyiaa watoto, wamama, wazee na vijana.

Imefikia hadi wanalipua makaburi ya waislamu na kuyafukua, na kuwachukua na kwenda kuwatolea viungo, huu ni ukatili uliopitiliza.
 
Huyo ni mpiganaji wa kutetea haki kama mpiganaji mwengine.

Tena ni shaheed.

Shaheed akiuliwa tunasema Ma Shaa Allah.

Sema, Ma shaa Allah.

Kimbembe walichoshushiwa mazayuni na hebollah, sasa hivi kila mpalestina watakaemuuwa, hata kama ni raia wa kawaida watasema Hezbollah, ili na wao waonekane wamo wamo.

Hezbollah wamesabaratisha kabisa Iron Dome ya kaskazini, kwa ushahidi kamili.
 
Israel wanesema awamu ya kwanza ya vita wanemaliza Kwa kukamata maeneo yote muhimu.ya kaskazini ya Gaza yaliyokuwa chini ya Hamas Sasa wanaingia awamu ya pili
Kwenye eneo jipya kivita litakakoambatana na kubadili mbinu za kivita ikiwa ni pamoja na kuua makamanda wa Hamas popote walipo duniani na ambao bado wamejificha kwenye mashimo ya tunnels eneo wanaloliendea awamu ya pili ya vita Awamu ya kwanza wameiunga Rasmi December 31
 
Hiyo Hezbollah ikicheza itafutwa kama Hamas
Israel wamesema wanataka kutengeneza buffer zone kwenye mpaka wake na Lebanon ili kulinda Israel Hamas wasiwe karibu nao hivyo walishaanza mashambulizi Lebanon tayari kupambana na Hizibollah ili waweke hiyo buffer zone ya kulinda mpaka wa Israel dhidi ya Hizibollah na Hamas waliotorokea Lebanon
 
Story za jaba hizo 😅😅😅ule Uongo wa kuwakomboa mateka ndani ya lisaa ipo tena....Wapo hapo Gaz kms kadhaa hamjui walipo ....Ngoma nguvu hawana kiongozi ni mgambo hao wanapisha siti,kila mmoja ni kiongozi.
Mnapambana na spirit hapo huwezi kuwamaliza hata upewe miaka 100.
 
Hizo propaganda za kizayuni tumezizowea.

Kamanda asiye na jina? Huyo nakuwa kamanda hewa.

Kwanza mapoyoyo muelewe, hakuna vyeo Hezbollah, kila mmoja ni kamanda.

Hapo ndipo mtakapoelewa kuwa hamuelewi.
Kuwachokoza waislael ni kumchokoza Muumba mwenyezi Mungu. Hivyo atakaye wagusa waislael atajuta. Kwa sasa hata dunianzima ijipange kupigana nao haiwezi kushindaa. Subirieni mpaka ujio wa YESU kristo mara ya pili hapo ndipo islael watapigwa kiasi cha kumuomba masia mwana wa Mungu mwokozi wa ulimwenguu, ndipo atawasaidia tenaa. Kwahyo kwa sasa kila atakaye wachokoza waislael atapoteaa. Ni ushauriii nawapeniii tuuu
 
"Inna lilah waina lilah rajiun"

Tafsiri rasmi

"Tumsifu Yesu kristo milele amini"
 
Spirit wapi watu wenu wamejificha kwenye mashimo kama panya wameachia raia wasio na hatia msala
Mnakuja kulia humu ooh wanaua watoto na wanawake wakati wao wamekuwa kama ramani ya kuchoresha wanajeshi wa IDF acha wafe
😅😅😅Hakuna kukata tamaa milele hao ni mgambo tu wanapigana na Marekani
 
Hizo propaganda za kizayuni tumezizowea.

Kamanda asiye na jina? Huyo nakuwa kamanda hewa.

Kwanza mapoyoyo muelewe, hakuna vyeo Hezbollah, kila mmoja ni kamanda.

Hapo ndipo mtakapoelewa kuwa hamuelewi.
awe na jina au hana utake usitake uamini usiamini haijalishi senior Hezbllah commander kauliwa na wazayuni

 
wana wa ahadi wa mzee Ibrahimu hawanaga kazi mbovu maana Mungu yupo upande wao. Sasa wale mitoto ya beki tatu hajiri full laana
 
MR UHARO NO 2🤣
 
cha msingi kamanda keshauliwa hilo ndo la maana 🤣🤣🤣
Ndivyo fikra zako zinavyokutuma.

Sisi tunaamini huyo ni shaheed.

Kawaulize mazayuni, sasa wanaijuwa maana ya Shaheed.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…