Abu Ubaidah Commando
JF-Expert Member
- Sep 8, 2016
- 7,591
- 6,946
Source: TRTWORLD
Kama muonavyo clip ya mama mtu mzima, akisukumwa na kuanguka hadi chini, huu sio ubinadamu haswaa, huu ushenzi wanaoufanya mazayuni dhidi ya wapalestina kamwe huwezi kukuta Hamas’s wakifanya.
Aliemsukuma mama huyo ni mwanajeshi wa kizayuni mwenye asili ya uafrika, kama mnavyoona akifanyiwa ukatili huo.
N:b Unawezaje kuwasapoti na kuwaunga mkono watu hawa wasio na utu, wala huruma kwa binadamu wenzao, hawaheshimu imani za wengine n.k! Kuna unyama mwingi sana wakiwafanyiaa watoto, wamama, wazee na vijana.
Imefikia hadi wanalipua makaburi ya waislamu na kuyafukua, na kuwachukua na kwenda kuwatolea viungo, huu ni ukatili uliopitiliza.