Yaan hawa wenzetu bhana tokea wapo wadogo wanafundishwa wakristo ni maadui zako.Kama umeshindwa kuthamini wamaasai ulionao jirani tena ndani ya nchi moja, na kuamua kuwalinganisha na Israeli kwamba hawana ardhi ni wahamahamaji tu basi nyie ndio wale waislam wapumbavu wanaofikiri kwamba mna uwezo wa kuondoa Israeli pale walipo.
Waislam shida hipo sehemu, acheni kuwaumiza na kuwaua ndugu zetu wapendwa wapalestine kwa kuwadanganya na silaha, sasa leo nendeni katika umoja wenu mkawasaidie si ndio mliwadanganya nyie wajinga.
Wanaokufa na kuutahabika pale ni wapalestine sio wairan, saudia, nk. Saizi wote mko nyuma ya keyboard zenu, ila watu wa Gaza wamezingirwa mda huu, na hii ni baada ya kudanganywa na ndugu zao jamani.
Inashangaza sana lakini kwa video za Jana Wacha palestina walipe gharama we unaua mtu Hana bunduki yupo kwenye gari, utalii unampigia shaba so ugaidi huoWote wapuuzi tu unaanzaje kupiga raia na kuua wakati walikua kwenye makubaliano mazuri tuu mimi sipo upande wowote kwa hao Vima...
Sasa nani kafanya invasion??Hakuna "war tactics" hapo. Kuna "invasion".
Komredi tofautisha msimamo wa kiongozi ambao mara nyingi unakuwa msimamo wa nchi na ule msimamo wa mtu mmoja mmoja, kikundi au jamii ambayo haina nguvu sana.Sio kweli Nyerere alikua upande wa Palestine na alikataa kuweka ubalozi hapa wa Israel zipo Nchi nyingi Afrika zinatofautiana kuhusu huo mgogoro bila kujali imani zao hao SA hawataki hata kuwasikia Waisrael ila Nchi ina wakristo wengi...
Source of information?Am not sure if this is rhetorical question or a genuine one, but for yesterday the number was more than 100
Mnajishauri tu Israel haijawai anguka tangu misingi ya Ulimwengu na Mungu aliapa hilo Taifa atalilinda Hadi siku ya Kyama, na Israel Imepigana Vita tangu kuanzishwa kwake ni mwendo haijawai kua na Amani hilo na vita karibia vyote Israel ilikua inashinda Kuna mda Israel ilikua Inavamiwa mpaka unaweza sema ndo mwisho wake lakin comeback Inayo kuja pigwa ni hatari.View attachment 2775056View attachment 2775057View attachment 2775055View attachment 2775054
Safi sana Ndugu zetu wapalestina, Ndugu zangu waislamu popote mlipo tuendelee kuwaombea hawa ndugu zetu Wapalestina, na waislamu wote kwa ujumla.
Hizo nchi ziko mbali kidogo na Palestina. Wa kufanya maamuzi ya uhakika ni Misri,Jordan na Syria. Hawa wakiamua kuacha mipaka yao huru wapalestina kurudi kwao na kufumbia macho vikwazo vyote vya mipaka walivyokubaliana na Israel,basi ni siku moja tu wapalestina watachukua ardhi zao zilizoporwa.Iran, Saudia na Iraq wakiingia tu aise hesabuni masaa tu mayahudi bye bye
Ataanzia wapi? Labda alete figure ya uongoAmekujibu?
Sasa mashambulizi yanatokea Lebanon kusini.Hizo nchi ziko mbali kidogo na Palestina. Wa kufanya maamuzi ya uhakika ni Misri,Jordan na Syria. Hawa wakiamua kuacha mipaka yao huru wapalestina kurudi kwao na kufumbia macho vikwazo vyote vya mipaka walivyokubaliana na Israel,basi ni siku moja tu wapalestina watachukua ardhi zao zilizoporwa.
Sasa nani kafanya invasion??
Endelea kula nguruwe
Makombora ya Hezbolah yana nguvu kubwa na kufika mbali maeneo yote ya Israel.Huenda mwisho wa Israel na Marekani ni mwaka huu.Lebanon nao washaanza kurusha vitu Israel midaa hii kwa mujibu wa al jazeera
Makombora ya Hezbolah yana nguvu kubwa na kufika mbali maeneo yote ya Israel.Huenda mwisho wa Israel na Marekani ni mwaka huu.
Mbaya zaidi unajitoa akili ukiwa mtu mzima kwako Masai Hana ardhi wewe kabila lako Lina ardhi? yaani unaumia zaidi palestina kushambuliwa kuliko jamii yako ambayo haina hata bomu kutolewa kwenye ardhi y huu UFIKI mtaacha lini?Hawana ardhi hao, waitowe wapi? Hao ni wahamahamaji kama wamasai.
Siyo wote waliopo Israel basi ni WA Israel no siyo hivyo. Wapo watu wateule wa Mungu wanaishi Israel ambao Hadi kwenye Biblia imewataja siku ambayo Mungu akirudi Dunian wao watachukuliwaTaifa hili hili linaloshadadia ushoga ndo Taifa teule?
Hawata badili lolote hapo mmarekani atawafadhili tu Pakistani wakichafue kwao au ndo itakuwa gia ya USA kurudi AfghanistanHuwa nawakubali hawa majamaa, wakiingia tu kwisha habari yao mayahudi
SA lazima wasiwapende Jews sababu kulikua na white Jews wa kutosha SA, pia serikali ile ya weupe ilikua na uhusiano mzuri sana na Israel.Sio kweli Nyerere alikua upande wa Palestine na alikataa kuweka ubalozi hapa wa Israel zipo Nchi nyingi Afrika zinatofautiana kuhusu huo mgogoro bila kujali imani zao hao SA hawataki hata kuwasikia Waisrael ila Nchi ina wakristo wengi...