Siku zote naongea kuhusu haki bila kujali iliko.
Ungejitendea haki kuwasema waovu bila kujali hata kama ni nduguzo au hata kama ni wakenya.
Sasa umsijipe uhalali nyie kufika huko wengine hawafiki. Mud tapeli kama hawa wanaojiita mitume na manabiiBabu yako aliemzaa babu yako yuko wapi hivi sasa?
Hao wakuu wa UN mbona hawatoi shinikizo kwa Hamas ili aachie mateka na vita iishe ili kunusuru maisha ya wapalestina wasio na hatia? Wanataka Israel ifanyeje? Ikubali kushindwa na Hamasa?Mkuu wa idara ya mambo ya nje ya Umoja wa Ulaya,Josep Borrell ameungana na viongozi wa dunia kuikataza Israel kutoendeleza vita eneo la Rafah.Hofu yake kubwa ni kuwa kitendo hicho kitasababisha maafa yasiyosemeka na kutaleta hatari nyengine katika mahusiano na Egypt.
Akijibu makatazo hayo Netanyahu amesema anaheshimu sana mawazo ya Marekani kwamba inahitajika mipango thabiti ya eneo hilo lakini akamalizia kwa kusema atafanya tu. “We’re going to do it”.
Ahh wapi nilikuambia wewe nilishakushtukia kitambo, hulka zako za kigaidi gaidi nazijua fika.... Hususan kile kipindi nilikua naona unatoa LIKES kwa kauli za kigaidi humu, naona umepunguza tangu nikuumbue.
Bila kutoa mfano angalau 1, ulichoandika hapa ni takataka tu, kama zozote zingine za dandora huko.
Wanatumia dini kama kivuli uislamu kuna sehemu unashda kuhusu awa magidi
Nia nikuwa wote tuwe waislamu au? Bikira 72 ni janga la duniaDini yenyewe imewaamrisha wakate kichwa yeyote asiyeamini katika hicho kitabu cha muarabu
“Terrorise and behead those who believe in scriptures other than the Koran – 8.12”
hivi Hawa jamaa bombing targets zao Hua nini maana ni kama waga wanarusha tu rockets kibwena ambazo hazina impact yoyote?
kwenye report yako hakuna vitu vifuatavyo
no death reported?
no wounded
no military vehicles destroyed
Sasa waga wanarusha rocket kwa hewa kujifurahisha au ndio wanafanya majaribio?