MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 32,408
- 50,809
Siku zote naongea kuhusu haki bila kujali iliko.
Ungejitendea haki kuwasema waovu bila kujali hata kama ni nduguzo au hata kama ni wakenya.
Ahh wapi nilikuambia wewe nilishakushtukia kitambo, hulka zako za kigaidi gaidi nazijua fika.... Hususan kile kipindi nilikua naona unatoa LIKES kwa kauli za kigaidi humu, naona umepunguza tangu nikuumbue.
