Killing machine
JF-Expert Member
- Jul 24, 2022
- 2,052
- 2,995
Aiseeh Hawa jamaa sio watoto wa mungu na Wala mungu wao sio mungu wa kumwa budu
Tuli danganywa
Tuli danganywa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
. Marekani inaelekea kuanguka kiuchumi na kupoteza sifa kama nchi yenye nguvu
Wale waisrael pia waliokufa nao sio watu?Baada ya vita vya Palestina Keisha na Palestina kuibuka na ushindi Israel itapata hasara kubwa. Tathimini itatolewa na picha na video mbali mbali zitatolwa. Wenye chuki na Palestina wakipunguza chuki zao na akili zikiwaeudi wataungana kidunia.
1. Isreal imewaua watoto wa Palestina bila kujali Hamas au sio Hamas
2. Imebomoa nyumba zao pamoja na nyumba za ibada
3. Wamebaka watoto wa changa
Nk.
Shukran
Hii itaathiri sana nchi hio. Marekani inaelekea kuanguka kiuchumi na kupoteza sifa kama nchi yenye nguvu
Na kwanini anakupa wewe chakula bila kumuomba na wala huna shukran.Kwanini allah Hawapi chakula waja wake?
Na kwanini anakupa wewe chakula bila kumuomba na wala huna shukran.