LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
. Marekani inaelekea kuanguka kiuchumi na kupoteza sifa kama nchi yenye nguvu
Screenshot_20231209-232805.png
 
Baada ya vita vya Palestina Keisha na Palestina kuibuka na ushindi Israel itapata hasara kubwa. Tathimini itatolewa na picha na video mbali mbali zitatolwa. Wenye chuki na Palestina wakipunguza chuki zao na akili zikiwaeudi wataungana kidunia.
1. Isreal imewaua watoto wa Palestina bila kujali Hamas au sio Hamas
2. Imebomoa nyumba zao pamoja na nyumba za ibada
3. Wamebaka watoto wa changa
Nk.

Shukran

Hii itaathiri sana nchi hio. Marekani inaelekea kuanguka kiuchumi na kupoteza sifa kama nchi yenye nguvu
Wale waisrael pia waliokufa nao sio watu?
 
Watoto wawili wa Gaza wamewakilisha wenzao kuomba chakula kwa mtindo wa kupanda juu ya nguzo za umeme ili wasikiwe na askari wa Israel upande wa pili wa ukuta unaotenganisha Gaza na nchi hiyo.

Tunakaribia kufa, tunaomba chakula walisikika wakisema huku wakibembelezwa na wakubwa wao washuke hizo ni nguzo zina umeme.

Baada ya hapo watoto hao waliendelea kupaza sauti na kuzitaja nchi kadhaa za kiarabu moja baada ya nyengine wakizitaka ziwaokoe na vifo kwa kuwaletea chakula.

Enyi watu wa Saudia na Oman tuleteeni chakulaa.

 
Back
Top Bottom