LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
vita isikie tu jiran
 
Na kwanini anakupa wewe chakula bila kumuomba na wala huna shukran.
Allah ni fake na hatoi chakula kwa yeyote... alishindwa kuongea na Mudy wala kufanya muujiza wowote mnamzushia tu vitu asivyoweza... even kuwa na mtoto hawezi.. tasa hahaha
 
Chakula wamepelekewa na watu wenye huruma kwa binadam wenzao, ni swala la muda tu watakipata, wale magaidi wanaokiiba hawatapata hiyo nafasi .
 
We kwa Imani ya dini yako unaweza kaa tu halafu ukaomba Mungu akuletee chakula na ikawa hivyo? au unajitoa ufahamu na kukashifu Imani ya wengine.
Ila wakimuomba Vita anawasaidia siyo?. Hamas wanarusha maroketi. Au wengine wanachinja mtu uku wanasema allah akbar. Ila kwenye misosi awezi.au kaallah kanapenda kuua zaidi kanatoa msaada haraka kuwezesha kuua tu.
 
Mtatafuta kila aina ya huruma lakini kichapo kipo palepale. Vipo ile kesi iliyofunguliwa na wahuni wa SA? Imesaidia?
 
Na kwanini anakupa wewe chakula bila kumuomba na wala huna shukran.
Mkuu; Inategemea ni Mungu au ni Allah aliyetoa hicho chakula. Kati ya hao wawili, mmoja (Mungu) huwa hana masharti na mzigo wake ni mwepesi kwani ni mwenye UPENDO usiopimika; lakini huyo mwingine Mhhh! huwa ni Vigezo na masharti sharti uzingatie.
 
Mikubwa imekausha alafu chakula kikija ya kwanza kula. Mdogo mdogo watawalaumu sana hamas kuanzisha hii vita
Ni kweli kabisa. Walioanzisha hilo timbwili wapo zao nje ya nchi au ndani ya mahandaki huku wakijinenepesha kwa chakula cha msaada walicho kwapua au kupora.
 
Hapo wanakosea kuomba chakula kwa Saud Arabia na Oman, kwa sasa waombe dunia tu iwasaidie, Says Arabia na Oman hawataki kujiingiza kwenye mgogoro ambao hauwezi kuisha, watajikita wameingia kwenye migogoro na nchi za magharibi kitakachofuata ni Iran kuzipiku nchi hizo kijeshi na kiuchumi ili achukue nafasi ya Saud Arabia na kusimamia agenda zake za kishia na kuangusha Suni, Iran siyo Arabs. Iran ni jamii ya mchanganyiko wa paktsan, Indian, Bangladesh, Afghanistan. Sasa anapambana ili awapindue waarabu , akimpindua Saudi Arabia na kusimamia maeneo muhimu ya Macca na Madina basi uchumi wa Saudia utaanguka na Sun utaanguka
 
Asubuhi ulileta thread ukisema Houth & Hamas wamekaa kikao na kuazimia kutokusimamisha vita vp hawajaandaa mazingira ya chakula kwa wapalestine wakati huu
Wanapigana?
 
Kwanini allah Hawapi chakula waja wake?
Ukiomba msaada unatakiwa uwe tayari kuupokea na sio tena unaanza kumwekea masharti Mtoa misaada. Je, huo msaada unaotolewa na UN sio chakula kwa ajili yao hao wahitaji? Mnataka awape kivipi? Nyie badala ya kupokea mnaanza tena kuhoji, kuibiana na kunyang'anyana chakula hicho.
Hao waja wake hawapewi kwa sababu ni Wakorofi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…