Ni kweli.Na vina tabia ya kugeuka geuka mpaka wakaingia wasiokuwemo.Au aliyetarajia kupata ushindi akashindwa kwa aibu.vita isikie tu jiran
Kabisa watoto wanataabika inaumiza sana.Ni kweli kabisa. Walioanzisha hilo timbwili wapo zao nje ya nchi au ndani ya mahandaki huku wakijinenepesha kwa chakula cha msaada walicho kwapua au kupora.
Halafu wanajinadi eti wanapigania kuikomboa ardhi yao iliyoporwa na Myahudi kumbe wanadanganya ili wapate ujiko.Kabisa watoto wanataabika inaumiza sana.
Allah atuongoze soteKwanini allah Hawapi chakula waja wake?
Kwenye lipi? Kama ni Ugaidi mm sipo.Allah atuongoze sote
Allah Mungu mfu anamuongoza nani? Lile jiwe pale Macca litamuongoza nani? Nyang'au mkubwa wewe.Allah atuongoze sote
hata kama unaichukia dini si sawa kuitukana mimi sikutukana dini yakoAllah Mungu mfu anamuongoza nani? Lile jiwe pale Macca litamuongoza nani? Nyang'au mkubwa wewe.
uongofuKwenye lipi? Kama ni Ugaidi mm sipo.
Wapi nimetukana dini yako?hata kama unaichukia dini si sawa kuitukana mimi sikutukana dini yako
Ila ww jamaa ni mpumbavu mkubwa sana, ww c ndo kila siku unasifia majeshi ya huko gaza kuwapiga Israel halafu leo unakuja kulialia ety mnaomba msaada wa chakula.Watoto wawili wa Gaza wamewakilisha wenzao kuomba chakula kwa mtindo wa kupanda juu ya nguzo za umeme ili wasikiwe na askari wa Israel upande wa pili wa ukuta unaotenganisha Gaza na nchi hiyo.
Tunakaribia kufa,tunaomba chakula walisikika wakisema huku wakibembelezwa na wakubwa wao washuke hizo ni nguzo zina umeme ,
Baada ya hapo watoto hao waliendelea kupaza sauti na kuzitaja nchi kadhaa za kiarabu moja baada ya nyengine wakizitaka ziwaokoe na vifo kwa kuwaletea chakula.
Enyi watu wa Saudia na Oman tuleteeni chakulaa.....
Mtoa mada aliwahi kusema siku sio nyingi hamas wanakwenda kuishinda Israel 😂 kumbe wananchi wao hata chakula hawana bhana 😂Hamas walaaniwe kwa kuwatesa hao watoto
Uliandika maneno mabaya siwezi kurudia, jifunze kuheshimu sisi ni binadamu leo unaweza kuamka hivi kesho ukaamka vyengine, kuweka akiba ni jambo zuri sanaWapi nimetukana dini yako?
Huyo namba moja anaitwa Marwan issa deputy commander for Al Qasaam brigade alishakuwa eliminated toka tarehe 11 mwez huu, mmoja baada ya mwingine ataliwa kichwa muombe Mungu akupe muda wa kushuhudia kazi pevu ya IDF.Kwa mara nyengine nakumbushia kuwa binadamu pamoja na ujanja na ubabe wake ni dhaifu sana mbele ya mipango ya Mwenyezi Mungu.Na kila unapojifanya mjanja sana basi ndio huwa unapewa kisiki ili uaibike mbele ya viumbe wenzako.
Kwa mujibu wa tangazo la Benjamini Netanyahu tangu siku ya mwanzo ya vita ni kuwa viongozi wote wa Hamas ni maiti wanaotembea.
Hata hivyo viongozi wote hao wanaonekana bado wapo hai na wanaendelea kupigana usiku na mchana
Katika kupigana na maiti hao Israel imeshapoteza idadi kubwa ya askari wake zaidi kuliko mateka iliyodhamiria kuwaokoa
View attachment 2940001
Wewe una tatizo mahali,sio bure!Ila ww jamaa ni mpumbavu mkubwa sana, ww c ndo kila siku unasifia majeshi ya huko gaza kuwapiga Israel halafu leo unakuja kulialia ety mnaomba msaada wa chakula.
Uislamu ni laana, muislamu yeyote yule amelaaniwa.
Naomba na wewe pia upate umri ushuhudie kuwa Israel na Netanyahu mwishowe watashindwa na kikundi kidogo dhaifu cha watu.Huyo namba moja anaitwa Marwan issa deputy commander for Al Qasaam brigade alishakuwa eliminated toka tarehe 11 mwez huu, mmoja baada ya mwingine ataliwa kichwa muombe Mungu akupe muda wa kushuhudia kazi pevu ya IDF.
From the river to the mad all Hamas terrorist will end up dead.Naomba na wewe pia upate umri ushuhudie kuwa Israel na Netanyahu mwishowe watashindwa na kikundi kidogo dhaifu cha watu.