LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
Teh teh teh.
Sasa hapa umeandika point gani?
We umesahau wayahudi walivyofanywa na Hitler?
Leo ndio wanaongoza kuua kuliko hata Hitler.
Usipoteze Muda kujaza server za JF kwa kuandika utumbo. Weka point usomeke mgalatia usie na elimu
Sisi Vijana WA madrasa NI Data kwenda mbele
 
Kwani kuna siku waislam wamewahi kuwa na akili. Ona sasa wenzenu ISIS wamekamatwa wakitaka kuwalipua waAjemi kwenye sikukuu ya idd.
ISIS NI Nani!
Wametoke wapi!
Nani anawapa support financially mpk wakawa na nguvu kubwa kiasi hicho?

Nyie wagalatia siku zote NI mahodari Sana kubwabwaja lkn Elimu ndio shida kabisa.
Ndio maana andiko likawaita KONDOO.
Yaani Bora Mbuzi. 😂
 
Kwani kuna siku waislam wamewahi kuwa na akili. Ona sasa wenzenu ISIS wamekamatwa wakitaka kuwalipua waAjemi kwenye sikukuu ya idd.
Ntakupa faida kidogo ili ujue Waislamu wamechangia vipi ktk ulimwengu huu kwenye suala la ELIMU.
Kaa mkao WA Kula upate faida

Islamic mathematicians such as Al-Khwarizmi, Avicenna and Jamshīd al-Kāshī made advances in algebra, trigonometry, geometry and numerals.

Leo bila Hao waislamu wewe mgalatia usingeweza kuandika huo utumbo wako kwenye hicho kifaa unachotumia.

Around the year 1,000, the celebrated doctor Al Zahrawi published a 1,500 page illustrated encyclopedia of surgery that was used in Europe as a medical reference for the next 500 years

Bila Huyo Daktari WA kiislamu Hizi operation wanazofanyiwa wagalatia za kuzaa watoto wenye chuki na waislamu km wewe zisingeweza kufanyika na mtu km wewe huenda ungefia tumboni kwa mama Eliakimu.

Sema niendelee kukupa data au kichwa chako nimeshapata Moto?
 
Kuna watu wanadhani kila mwarabu ni muislamu.
Kumbukeni Tariq Aziz alikua mkristo. Kumbukeni Gaza kulikua na makanisa.
 

Sikiliza kijana, unaniletea habari za wanasayansi wa misikitini kwenu hapa. Mimi siyo mjinga wa kunipa habari za makobazi eti nifaidike. Wee hujui hao ni janga la dunia. Katika historia, baada ya mudi tu kuzaliwa na kuanza kueneza dini chupi, sorry dini-chuki yake, dunia ikaingia kipindi cha giza. Ni uadui tu kwa kwenda mbele. Bure kabisa huyu mudi na waguqsi wake.
 
ISIS NI Nani!
Wametoke wapi!
Nani anawapa support financially mpk wakawa na nguvu kubwa kiasi hicho?

Nyie wagalatia siku zote NI mahodari Sana kubwabwaja lkn Elimu ndio shida kabisa.
Ndio maana andiko likawaita KONDOO.
Yaani Bora Mbuzi. 😂

Kwa nini ISIS wawe watu wa makobazi ambao wamedanganywa na mabeberu.
Msichojua ni kimoja tu, mtumie kobazi kumuua kobazi mwenzie. Na kwa sababu kobazi akili aliyobakiwa nayo ni kuwaza na kuwania mabikira saba sabini. Bila kushirikisha ubongo wake kikamilifu, anakubali bila masharti kutumika kuwaua wenziwao.

Hakuna asiyejua ISIS ni trojan horse wa nani.
Kila mtu anajua, na kushangaa
 

Ni miongoni mwa washenzi wengine kama kobazi. Sema hawa kidogo waamechangamka. Hawana imani zile za kishenzi kishenzi kama ndugu zao kobazi, wana wa kijakazi.
 
Nafikiri Watu wengi hawaujui Unafiki wa Wazungu.
Ndio chanzo cha Waarabu wengi kuwashindwa wazuñgu.

Yaani Biden na Netanyau lao moja
 
Waislamu wanasherehekea sikukuu ya Eid al-Fitr ambayo inaadhimisha mwisho wa mwezi mtukufu wa Ramadhani.

Lakini mwaka huu vita huko Gaza vimeleta huzuni kwenye sherehe hizo, haswa katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu na Israel.
MWISHO WA KUNUKUU.
Hongereni bbc swahili kwa kujua ukweli
 
Na bado...kwa nini mlivamia October 7?....kila mtu ashinde mechi zake
 
Mkuu hajuta sikiliza au kosoma au kuangalia BBC Swahili wote. Hebu tupe habari kwa kina tujue wamesemaje.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…