LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
Allah mkuuuu
 
Attachments

  • 20240506_194833.mp4
    51.1 MB
  • 20240506_194804.jpg
    20240506_194804.jpg
    3.1 MB · Views: 3
GAZA KUMEKUCHA HUKO WANANCHI WANADHURURA MITAAN WAKIIMBA NA KUMSHUKURU MUNGU BAADA YA HAMAS KUKUBALI MASHARTI YA ISRAEL MDA HUUU

KWA KWELI MUNGU N MWEMA ANAJIBU WAMEKUFA WENGI SANA NA SASA TUSEME IMETOSHA WALIOBAKIA WAENDELEE NA MAISHA ILA ADABU WAMEKIPATA WALICHOKITAFUTA
Mkuu una uhakika Mungu anahusika kwenye hiyo vita?
 
Watoto wa yakobo bana hapo wataamia na Irani kukiwasha nawajua hawa
 
Wananchi wa Gaza wanatakiwa wapimwe akili aisee maana sioni ni nini kinawafanya kushangilia hili tamko la Hamas na ukizangatia muda huu Rafah inashambuliwa na IDF.
 
Mazayuni hawana huruma na binadamy youote, wale ni mbwa waliolaaniwa na Mungu.
Eh wewe mbona muongo sana khah... Mungu yupi huyo? au yule Mungu Mwezi Al lah a.k.a Bis mi Lah i ndie aliyesema Waisrael wote watageuzwa nyani na Nguruwe ila hadi leo hawajageuzwa.. Allah alikwaa kisiki ndio kama tuonavyo Arabs wakila kichapo pale Gaza na IDF
 
Haya magari ya UN yakifyatuliwa msipige makelele...
Hawa magaidi wa kiislamu wameona haitoshi kujificha kwenye ndani ya watoto na akina mama, sasa wanatumia magari ya UN.

3711040-46.jpg

The IDF revealed on Tuesday that during operational activity in eastern Rafah on Saturday, terrorists were identified in UNRWA’s central logistics compound alongside UN vehicles.

In the footage, several terrorists and gunfire can be seen near UN vehicles and in the area of UNRWA's logistics warehouse compound in eastern Rafah, which is a central point for the distribution of aid on UNRWA’s behalf in the Gaza Strip.

Following the event, representatives of the Coordinator of Government Activities in the Territories (COGAT) conveyed the findings to senior officials in the international community and called on the UN to conduct an urgent investigation into the matter.
 
Kwanza hayo magar wameyatoa wap
 
Tunapoingiza udini kwenye hii vita ndo tunaharibu
Maana Palestine Kuna ukristo na uislam na Israel Kuna wakristo na WA Islam
Na wote wanatetea nchi zao
So ni ujinga kutaka kutetea upande kidini

Pia Haya mataifa yamepigana kabla hata ya Ukristo na Uislam
 
Back
Top Bottom