LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
Magaidi na wafadhili wao wafyekwe popote walipo ili amani irejee Mashariki ya Kati
 

View: https://x.com/jacksonhinklle/status/1791925906509832502

"Enyi mlioamini! Msiwafanye Mayahudi na Wakristo kuwa marafiki. Wao kwa wao ni marafiki. Na yeyote miongoni mwenu anaye wafanya marafiki basi huyo ni katika wao. Hakika Mwenyezi Mungu hawaongozi watu waliodhulumu."
Mwenyezi Mungu hawakatazi, kuhusu wale ambao hawakupiganeni nanyi kwa dini, wala hawakukutoeni majumbani mwenu, kuwa watendeeni wema na kuwa watendeeni uadilifu. Hakika Mwenyezi Mungu huwapenda wafanyao uadilifu. Mwenyezi Mungu anawakataza tu kuwafanya marafiki zenu wale waliopiganeni nanyi kwa dini, na wakakutoeni katika majumba yenu, na wakasaidia katika kufukuzwa kwenu. Na wanaowafanya hao kuwa marafiki, basi hao ndio madhalimu."

Huyu sio mungu ni miungu
 
Wayahudi hawana urafiki na yeyote yule zaidi ya myahudi mwenzake, sio mkristo wala Muislam Myahudi hana urafiki nae isipokuwa Wakristo wamejazwa ujinga tu wakuwanyenyekea Wayahudi.

Kabla ata ya Uislamu kuja Wayahudi waliwaua sana Wayahudi wenzao walioamini katika Ukristo.
Hata ukisoma huuzi uzj utaona kama tunatia kinya watanzania wakisikia myahudi yupo tiari hata kugawa tigo bure ..sijui nani aliyepandikiza huu uji wa wakristu wezangu kuwa wayahudi ni binadam first class
 
Hawa ndo wanajeshi 8 wa Israel waliochomwa na Hamas jana Gaza

Miili yao iliungua vibaya kiasi cha kutofaa hata kutambulika kwa macho kutokana na mlipuko mkubwa

Majivu na mabaki yao yatarudishwa na kwenda kuzikwa

Walienda Gaza kuua wanawake na watoto cha kusikitisha wameishia kuchomwa kama mishikaki ya Broiler baada ya ATGM kufanya yake!!

[emoji298]️Eight zionist terrorists liquidated in Rafah, they found out
20240616_094029.jpg
 
UTAKIENI AMANI YERUSALEM WAFANIKIWE WAKUPENDAO YERUSALEMU.

BWANA ALIPO WAREJEZA MATEKA YERUSALEM TULIKUWA KAMA TUOTAO NDOTO NDIPO ROHO ZETU ZILIFURAHI.

AMANI IKAE NAWE JERUSAREMA WAFANIKIWE WAKUPENDAO

JINA LA MUNGU WA YAKOBO LIKUINUE WAKATI WA DHIKI.
 
Dunia ina wanafiki sana, anyway let's them kill each other, ila Palestine wade zaidi
 
Back
Top Bottom