LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
HIyo mwananyamala kwakweli sijapenda
Hamgusiki hamuambiliki mtu yeyote anaechangia hapa lazma mmuingize kwenye makundi yenu ya uislamu na ukristo, uisraeli na upalestina. Kuna sisi tunaoinjoigi tu maisha we care nothing sio ccm wala cdm sio uislamu wala ukristu.....free people like air molecules.

Ndio maana nawaona wapalestina na waisraeli wa mwananyamala 😁
 
Haswa yule Mwarabu shenzi type anaye pigana kuwauwa warabu wenzake hata kama ni mkristo in shaa Allah fi nari jahanamu khalidina fihaa
Hapa ndo mnapoyumba kuiingiza hii vita na itikadi za kidini
Kwahiyo ukiwa muarabu by default ni lazima uwe muislamu na kwanini unaona kuwa yeye ni mkosefu sana kuliko hao wauaji wengine wa kipalestina

Siipendi Israeli lakini pia Palestina Haina usafi huo
 
We tatizo lako bado unafikra za kibantu.
 
Hata kama ni ushabiki sio kiivi jamani....

Yani vipicha vipassport vimeandikwa sijui kilugha gani, na moto unaowaka hapo barabarani tayari habari, wanajeshi wamechomwa wamekua majivu, serious????
Unapinga tena shangazi!?
Hilo mbona confirmed hata katika vyombo vikubwa vya habari!?
 
Hata kama ni ushabiki sio kiivi jamani....

Yani vipicha vipassport vimeandikwa sijui kilugha gani, na moto unaowaka hapo barabarani tayari habari, wanajeshi wamechomwa wamekua majivu, serious????
Umekula?
 
Hawa ndo wanajeshi 8 wa Israel waliochomwa na Hamas jana Gaza

Miili yao iliungua vibaya kiasi cha kutofaa hata kutambulika kwa macho kutokana na mlipuko mkubwa

Majivu na mabaki yao yatarudishwa na kwenda kuzikwa

Walienda Gaza kuua wanawake na watoto cha kusikitisha wameishia kuchomwa kama mishikaki ya Broiler baada ya ATGM kufanya yake!!

[emoji298]️Eight zionist terrorists liquidated in Rafah, they found outView attachment 3018489
Wachache sana wangeongeza wengine 292
 
Ni kama wanawekwa Front line kama chama 19 years anauzoefu gana hapo jaman
 
Mpaka Sasa kilichojiri Rafah mji wa kusini tangu Israeli ivamie siku 40 zilizopita 🤔
......
RAFAH UPDATE

DURATION AND CONTROL:
40 days into the IDF operation in the southern city, approximately 70% of the area is under IDF control, with around 550 terrorists eliminated.

COMMANDER’S SURVIVAL:
IDF hints that Rafah Brigade commander Muhammad Shabana survived an assassination attempt but vows to reach him.

BATTALION STATUS:
Two of the four Rafah battalions are in dire condition, while the other two are moderately operational.

PHILADELPHI ROUTE:
IDF quickly controlled the Philadelphi Route, preventing rocket launches and discovering long-range rockets.

TUNNEL DISCOVERY:
Over 200 tunnel shafts and 25 underground routes to the Egyptian border have been identified.

GUERRILLA TACTICS:
Soldiers found sophisticated guerrilla methods, including movement through cupboards and hidden cameras.

HOSTAGE SITUATION:
Hostages likely moved from Rafah at the operation's start; IDF continues to gather intelligence.

CASUALTIES:
The 162nd Division has suffered 22 fatalities in Rafah.

FUTURE STEPS:
The operation is expected to conclude in weeks, with political directives pending on whether to stay, withdraw, or return.

Credit: Hillel Fuld
FB_IMG_1718646317272.jpg
 
Back
Top Bottom