kahtaan
JF-Expert Member
- Jul 11, 2009
- 18,760
- 11,343
Teh teh teh.Saaa hapo kipya kipi? Yaani kutafsi neno Persian and Median kwa kiarabu tayari unajiona mwenye elimu. Teh teh tihii. Waajemi kwa taarifa yako, waliwahi kuwa taifa kubwa kama Ugiriki, Roman na sasa USA 🇺🇸. Hao makobazi walikuwa washenzi tu kipindi hicho.
Sasa hapa umeandika point gani?
We umesahau wayahudi walivyofanywa na Hitler?
Leo ndio wanaongoza kuua kuliko hata Hitler.
Usipoteze Muda kujaza server za JF kwa kuandika utumbo. Weka point usomeke mgalatia usie na elimu
Sisi Vijana WA madrasa NI Data kwenda mbele