LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
Endelea hivyo hivyo kujifariji, lakini kaa ukijua myahudi hana cha msalie mtume huko mashariki ya kati, anapukutisha magaidi kama uchafu, Hizibulah anajuta kuingilia ya Hamas, hakuna gaidi wakuchomoka huko Lebanon akiwa hai.
 
Kweli ukiwa na maono hafifu ni mzigo.
Myahudi,alisema:Wamelianzisha wao itatakiwa walimalize wao pia.
Mwaka Sasa,watu wazima wanalia kilio kimoja karibia ukanda wamashariki ya kati.

Unaleta fyoo,unapigiwa kwenu.
Popote utakapotolea sauti ndiio huko huko utafatwa.
Hakuna jambo lililowaogopesha kama la Rais WA Iran kuliwa kichwa Tena nyumbani kwake.
Mwanzoni mlikuwa mnasemaje.
Nyie hamuogopi!.
 
Kweli ukiwa na maono hafifu ni mzigo.
Myahudi,alisema:Wamelianzisha wao itatakiwa walimalize wao pia.
Mwaka Sasa,watu wazima wanalia kilio kimoja karibia ukanda wamashariki ya kati.

Unaleta fyoo,unapigiwa kwenu.
Popote utakapotolea sauti ndiio huko huko utafatwa.
Hakuna jambo lililowaogopesha kama la Rais WA Iran kuliwa kichwa Tena nyumbani kwake.
Mwanzoni mlikuwa mnasemaje.
Nyie hamuogopi!.
Ile ni ajali kama ajali zingine acha kupiga ramli chonganishi
 
Israhell ya kwenye holiwudi inatisha kuliko israhell halisi

Kuna yule dada mateka wao walibahatika kumuopoa

Walipakazia kwamba kateswa na hamas

Dada kahojiwa anasema hamas walimhudumia vyema dada hata akikohoa hamas wamefika wanampa dawa nahuduma nyengine

Anasema sasa walipofika magaidi wa israhell nusura wamuue maana wameshindwa kumkomboa ikawa mabomu tuuu🙁🙁🙁
 
Kwa akili ya kawaida ,kama siyo kichaa huwezi amini kwamba hezibollah atapigana na Israel halafu amshinde, hezibollah ni kundi dogo sana ndani ya nchi ya Lebanon, ni kikundi kidogo cha waasi, hawana mamlaka kamili .
 
Kwa akili ya kawaida ,kama siyo kichaa huwezi amini kwamba hezibollah atapigana na Israel halafu amshinde, hezibollah ni kundi dogo sana ndani ya nchi ya Lebanon, ni kikundi kidogo cha waasi, hawana mamlaka kamili .
Ni magaidi yenye mlengo wa kidini. Ila sijajua ni dini ipi kati ya dini ya kikiristo au kiislam. Wadau nisaidieni kwa hili
 
Jeshi la Israel lilisema Jumanne kwamba limeokoa mmoja wa watu wengi waliotekwa nyara katika shambulio la Hamas Oktoba 7, ambalo lilizusha vita vinavyoendelea Gaza. Jeshi lilisema Qaid Farhan Alkadi aliokolewa "katika operesheni tata kusini mwa Ukanda wa Gaza.

" Mtandao wa Redio ya Jeshi la jeshi la Israel umesema Alkadi ni wanajeshi wa kwanza mateka waliofanikiwa kupata na kuwaokoa wakiwa hai kutoka ndani ya mtandao mkubwa wa vichuguu vya Hamas huko Gaza.

Operesheni tatu za hapo awali ziliokoa mateka waliokuwa wakizuiliwa katika majengo juu ya ardhi, mtandao huo ulisema, na kuongeza baadaye kwamba Alkadi alipatikana akiwa peke yake ndani ya handaki hilo na wanajeshi, bila watekaji nyara wengine au wanamgambo.

Israel says hostage seized by Hamas on Oct. 7 rescued in "complex operation" by troops in Gaza
 
Sheikh Yahya Sinwar inaripotiwa amekuwa akivaa Hijab na kutembea kwa minenguo ya kike katika harakati za kuokoa maisha yake

Hata kujipamba au kujiremba ili mifumo ya drone inayotumia kutambua nyuso za wakazi wote wa eneo la Gaza isimtambue

Pia katika pendekezo la HAMAS jipya la mapatano ya amani inasemekana Sheik Sinwar alizuia la kwanza ili kueka kipengele cha yeye kutouliwa kwanza

Baada ya kugundua hata huko TEHRAN si salama kwake.


WSJ: He walks around in women's clothing, apparently!

The New York Times reported this week on the various methods Israel is using to try to eliminate the leader of the Hamas terrorist organization, master butcher Yahya Sinwar. The newspaper listed a number of cases in which Israel nearly "captured" the murderous terrorist, but he ultimately escaped and has not been eliminated.

On January 31, commandos raided an elaborate tunnel complex in the southern Gaza Strip, based on information that Sinwar was hiding there, the newspaper reported, citing American and Israeli officials. Sinwar was in the same tunnel complex, but a few days earlier he left the bunker under Khan Yunis. He also reportedly left behind documents and stacks of Israeli shekels, worth about $1 million. Evidence that he had to leave quickly.
 
Back
Top Bottom