LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
Shairi la kujiliwaza na kujifuta maji yatokayo machoni.🤔
"Nimesema na nasisitiza: ikiwa tutaogopa kifo, tunaogopa kufa kitandani, kama ngamia. Tunaogopa kufa katika ajali za barabarani au kutokana na kiharusi au mshtuko wa moyo. Hata hivyo, hatuogopi kuuawa njiani. ya dini yetu, nchi, na maadili matakatifu.

Damu na uhai wetu si wa thamani zaidi kuliko damu na uhai wa shahidi mdogo zaidi ambaye alidhabihu maisha yake yenye thamani kwa ajili ya nchi hii ya asili, dini, na maadili matakatifu.”

Amiri Mkuu wa Uislamu, Yahya Sinwar
 
SINWAR IS DEAD, REDUCED TO ATOMS, HE DIED LIKE A RAT HE IS.

Get over it.
 
Amekufa huku analia kwa maumivu/uchungu mwingi sana.
 
Wengi tungependa tusife na tuishi milele katika dunia hii jambo ambalo haliwezekani kwani kufa ni lazima,wewe furahi mwenzako kuuliwa lakini nawe siku yako itafika tu haijalishi utakufaje.
 
Nasikia kashabondwa....ila wangeachana na hizi mambo
 
Yamekuwa hayo tena!!

Ingekuwa heri kwako ikiwa ungeibariki Israel na Netanyahu!!

Israel hailaaniki sababu imebarikiwa, kuilaani ni kuibariki wakati kwako ukilaanika, na kuibariki ni kuibariki.

Chagua uamuzi sahihi.
 
Yamekuwa hayo tena!!

Ingekuwa heri kwako ikiwa ungeibariki Israel na Netanyahu!!

Israel hailaaniki sababu imebarikiwa, kuilaani ni kuibariki wakati kwako ukilaanika, na kuibariki ni kuibariki.

Chagua uamuzi sahihi.
Nyie muwe na subira tu,mtashuhudia nayosema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…