christeve88
JF-Expert Member
- Aug 11, 2018
- 2,841
- 4,531
Thibitisha acha uchochezi mkuu.
nilitaka kuandika kitu ila mungu ninaemuamini mimi amenikatalia. All the best mashabiki wa hii vita.Nimekutana na hoja za ajabu sana za watu wanaoitetea Israel. Ikiwemo Wakristo tena wasomi na watu wazima wanaosema “ Vita ya Israel na wapalesitina ni ya kimaandiko, na siku ikiisha ndio mwisho wa dunia”
1. Sasa huyu Mungu alikua na ulazima gani kuweka hayo maandiko ambayo kundi moja la watu watesekw ili hayo maandiko yatimie?
2. Na kwanini na wewe unaamini kitu kama hiki?
View attachment 3212340
photo: when you know it is your land.
We ni punguani wa mapunguani kuwahi kutokea katika uwanja mpana wa JF.Nimekutana na hoja za ajabu sana za watu wanaoitetea Israel. Ikiwemo Wakristo tena wasomi na watu wazima wanaosema “ Vita ya Israel na wapalesitina ni ya kimaandiko, na siku ikiisha ndio mwisho wa dunia”
1. Sasa huyu Mungu alikua na ulazima gani kuweka hayo maandiko ambayo kundi moja la watu watesekw ili hayo maandiko yatimie?
2. Na kwanini na wewe unaamini kitu kama hiki?
View attachment 3212340
photo: when you know it is your land.