Arsenal Gunner
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 10,891
- 17,718
Mahaba niueIDF ni hatari sana huyu jamaa pamoja na kujifunika sura bado wameweza kumjua
Ogopa Mungu na Tecknolojia!!Hapo mbona haonekani hata sura? Wao wamemjuaje?
Ukipata jibu ndio maana ya the best army in the world.Hapo mbona haonekani hata sura? Wao wamemjuaje?
Unamkumbuka Jihad John enzi za ISIS?Hao jamaa wamemjuaje kama ndio huyo
Duuh hatari sana aiseeUnamkumbuka Jihad John enzi za ISIS?
Mbona aliangamizwa huku sura yake ikiwa inajulikana ingawa siku zote hakuvua ninja yake usoni.
Kuna teknolojia wanafanya , inavuliwa hiyo mask kwa teknolojia wanakutambua sura yako halisi.
AnasemajeMunir anaelezea kile kilichotokea katika kituo kipya cha usambazaji wa misaada hapo watu wa Gaza ni wakaidi, wagomvi, wanahitaji nguvu ili kuwaweka sawa!!!
Watu wa Gaza ni kama punda bila mjeledi hawawezi kwenda mbele kama wamarekani watasimamia zoezi la ugawaji misaada bila silaha basi kutatokea majanga makubwa sana!!!
Wafanya fujo wamefaamika walipangwa na Marekani yenyewe !!!!!!Munir anaelezea kile kilichotokea katika kituo kipya cha usambazaji wa misaada hapo watu wa Gaza ni wakaidi, wagomvi, wanahitaji nguvu ili kuwaweka sawa!!!
Watu wa Gaza ni kama punda bila mjeledi hawawezi kwenda mbele kama wamarekani watasimamia zoezi la ugawaji misaada bila silaha basi kutatokea majanga makubwa sana!!!
Huu ndiyo mlionao mnawafanya wananchi wa Gaza wote ni wajinga wamechoka na vita, na kunyanyaswa na Magaidi wa Hamas wewe Mmatumbi mwenzangu ndiyo unajifanya unajua kuliko wao!!!!Wafanya fujo wamefaamika walipangwa na Marekani yenyewe !!!!!!
Toka lini Taifa linalogawa silaha kwa Adui yao eti uyo uyo awe mwema kwa Wapalestina wewe umeona wapi!!!
MAREKANI NA ISRAEL wote wapo kwenye njama moja lkn Watashindwa tu Sababu Shetan kamwe awezi mshinda Mungu wawatu wenye Iman thabiti,,