LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
Hakukua na sababu ya Hamas kuvuka mpaka na kwenda kushambulia Miji na Vijiji vya majirani zao.
Tangu kuanza kwa mwaka huu 2023 Israel imekuwa ikiendesha utwaaji(occupation) wa maeneo yanayokaliwa na Wapalestina.

Ni hatua ya mwisho ya Vita kati ya Ukraine na Urusi.
 

Kila siku wafilisti wanaendelea kuikimbia nchi. Hao wayahudi labda wauliwe wote ndio hawataendelea kujitanua
 
Aliwapa nchi yao au hadi Gaza wanayoikalia kwa mabavu
Hivi unajua Taifa la Israel liliundwa mwaka Gani!? Na kabla ya hapo wa Israel walikua wapi!? Nakupa home work
 
Tangu kuanza kwa mwaka huu 2023 Israel imekuwa ikiendesha utwaaji(occupation) wa maeneo yanayokaliwa na Wapalestina.

Ni hatua ya mwisho ya Vita kati ya Ukraine na Urusi.
Hamas hawajasema kuwa hiyo ndio sababu kuu wamesema ni Msikiti wa Jerusaleym
 
Chanzo cha taarifa usijekuwa unaleta taarifa za kimemko

Sent from my Infinix X663 using JamiiForums mobile app
 
Mpaka sasa vifo nchi Israel imepindukia 400 kwa upande wa palestina imepindukia 300
 
Hamas wamewapelekea Israel moto wa mabua
Sasa ni zamu yao kupelekewa moto wa gesi mpaka akili ziwakae sawa
Israel imewaambia raia wa gaza waondoke kwenye mji huo.
 
Sasa Iron dome zinafanya kazi gani drone za Palestine zinaruka mda huu ndani ya Anga la Israel — [emoji1134]/[emoji1193] BREAKING: Palestinian suicide drones in the skies above Israel

@Middle_East_Spectator
 
Exodus 19 and 24.

This is the covenant God establishes with the people of Israel at Mt. Sinai after he led them out of Egyptian slavery. With it, God supplies the Law that is meant to govern and shape the people of Israel in the Promised Land.
Lete na Matayo ile sehemu waliyolaaniwa na kwenda kuwa Watumwa Roman Empire...
 
Muda wa Israel kulaumiwa umefika. UN, Human Rights Watch, Save The Children na mashirika kibao ya haki za binadamu muda wao huu wa kuandika nyaraka nyingi.

Collateral damage itakuwa kubwa soon kuna watu watalalamika Israel ikijibu mashambulizi
Acheni upendeleo.. Israel si yupo hapo miaka yote anawapiga wenzake...mbona hamkuwa mnakemea!!? Ukraine kaguswa kidogo Dunia nzima keleleee.... Acha wachapane
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…