Kashishi yetu
JF-Expert Member
- Mar 22, 2014
- 3,509
- 3,741
Tanzania tusapoti israel
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jambo la Mama ni Jambo letu. #SSH hapana jambo la mama ni la ccm na chawa zakeKipigo cha mbwa mwizi kikolea msije sema ni vita dhidi ya imani fulani.
Sauti ya mtu aliye Nyikani 😄Huyu ni mwingine.
Sio kweli, mbona kwetu Kuna amani lakini haki ni msamiati mgumu?!AMANI ni tunda la HAKI.
Ni wapi umeniona nimeunga mkono Ukraine kupigana na urusi!Ila upumbavu wa Zele mnauunga mkono???
Tunamchamganyiko wa AMANI na UTULIVU kuna sehemu hakuna Amani kihivyo ila kuna Utulivu.Sio kweli, mbona kwetu Kuna amani lakini haki ni msamiati mgumu?!
Ikiwemo green guard. Kikundi cha hatari sana hii hapa Tanzania.Vikundi vya kigaidi vifutiliwe Mbali!
Waafrika wapo wachache kwenye Bara leo unataka tena wapungue Mkuu.Tunatakiwa tupange uzazi Misitu ya Afrika kila siku tunaikata Mikaa kwa ajili ya kulisha Jamii inayokua kwa kasi.
Tuvae Condom
Kwa hii miongo tumezaana kwa wingi sana kuliko jamii zozote na umasikini unazidi kuongezeka.Waafrika wapo wachache kwenye Bara leo unataka tena wapungue Mkuu.