LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
Wakati Wayahudi wanauliwa na Adolf Hitler, Urusi alikuwa mstari wa mbele kabisa kusimama na Israel kuhakikisha wanapata haki yao, wakawatetea kwa nguvu zote na ndiyo maana tangu zamani mpaka sasa hivi Israel na Urusi huwa wanaheshimiana sana.

Sasa bhana! Unajua kwa nini vita na Ukraine ilikuwa ngumu sana mpaka kuamua kupumzika? Mlango wa nyuma, Israel alikuwa anamsaidia silaha Ukraine, na pia alikuwa anahakikisha jamaa wanaingia katika muungano na NATO.

Hili lilimkera sana Urusi, alimuona Israel kama msaliti! Kwa nini umsaidie Ukraine? Kwa nini unataka kumuingiza kwenye uanachama na NATO? Sasa ishu ya Palestina, wamewekwa kama chambo, nyuma yake yupo Urusi na Iran.

Kundi dogo kama Hamsa limefadhiliwa na kupewa silaha na kila kitu, ndio maana wameweza kutamba mbele ya israel.

Iran anaingia kama kutaka kulipa kisasi, bado kumbukumbu zake za kupigwa na Israel, kuuliwa kwa wanasayansi wake inawaumiza sana kichwa. Wamesema wapo nyuma ya Palestina, je, wataendelea kuwa nyuma yake ama watamuacha mambo yakichanganya?

Saudi Arabia naye ameingilia, anasema yupo nyuma ya Palestina, je, ataendelea kuwa nyuma yake Israel akiamua kupiga Waarabu wote kama alivyofanya kipindi cha nyuma? Hatujui. Ngoma bado mbichi. Tuombe Mungu tu majibu ya Israel yasiwe makubwa kama ya kipindi kilichopita na kumaliza watu wengi wasio na hatia.

View attachment 2775088
Majira ya jioni tarehe 7/10/2023, Marekani imetangaza kuunga mkono tangazo la Israel la kujilinda kwa kuendesha vita ya Kigaidi katika ardhi ya nchi zingine HURU za Palestine, Syria nk, Wakati huo Marekani hiyohiyo inapingana Urusi kujilinda. Kumbaaaafu kabisa, Ukiunga mkono Israel kujilinda, unga mkono pia Urusi kujilinda.
View attachment 2775093
Utawashangaa watu walivyo brainwashed na Media za kimagharibi na udini juu, hasa waswahili wa Bukoba na Mbarali huko waliokuwa wakilishwa propaganda kuwa Urusi imefanya kosa kubwa kuvamia nchi huru ya Ukraine kwa hoja kuwa Urusi inajilinda dhidi ya maadui, Leo watu walewale wako Israel wanaunga mkono Israel kujilinda dhidi ya maadui.

Ifahamike, kabla ya mashambulizi ya jana ya Hamas, Kwa miezi zaidi ya miezi 15 Israel ameendesha Oparesheni Palestine, Syria, Jordan nk kwa kile alichosema anasaka magaidi. Anafanya mashambulizi katika nchi huru bila idhini ya nchi husika. Hoja yake kuu ni kuwa analinda maslahi ya Israel, akaungwa mkono na mjombo wake USA, lakini Umoja wa mataifa ukawa kibogoyo...

Alichokuwa anafanya Israel ndicho alichokifanya Urusi kwa miezi zaidi ya 18 huko Donbass. Lakini Marekani na vibaraka wake wakasema Urusi anafanya uvamizi... Urusi akaweka hoja ileile iliyotolewa na Israel kuwa analinda maslahi ya Moscow.

Sasa kelele za nini juu ya majibu ya Hamas? Dunia itulie kila mtu alinde maslahi yake kwa kudhibiti wakorofi wote duniani ambao ni Manazi wa Ukraine wakiongozwa na kibaraka Zelensky na magaidi wa Hamas chini ya Mamlaka ya Palestine.

Hatutaki kelele za huruma za Israel baada ya kubondwa, watulie waendelee na Oparesheni yao. Binafsi siku zote mimi huunga mkono taifa lolote linalojilinda, na nimekuwa hivyo naunga mkono Israel kujilinda kwa 100% vivyo hivyo naunga mkono Urusi kujilinda kwa 100%. Marekani ni mchokozi kila kona ya dunia na ndie muundaji wa makundi yote ya Kigaidi duniani akiyaita ni wapigania Demokrasia ama utaifa, akichoka kuyatumia anayabatiza jina la Ugaidi.
Kwanza, Russia haikuwepo wakati wa WW2, So usipotoshe.
Pili, kama ulitaka umaanishe USSR, basi elewa USSR haikuingia kwenye ile vita kusaidia Wayahudi, bali ilishambuliwa na Ujerumani ambapo miezi 7 baadaye ikaingia vitani na this time waliamua kuitumia vita ile kurejesha maeneo yake kama Finland, Baltic States (Lithuania, Latvia, and Estonia), na Moldova ambayo ilikua annexed na Romania, pia sehemu kubwa ya maeneo ya Poland. Maeneo hayo yalijitenga wakati wa Civil war ya mwaka 1917 hadi 1922.
Unachokileta hapa ndugu yangu ni kipya kabisa.
US na UK ndiyo walijishughulisha zaidi na swala la Wayahudi wakati wa vita kuu ya pili ya dunia.
 
Muwe mnatunza akiba ya maneno. Unahisi wapalestina na Hao Hizbolah wao hawakuwi eeenh, unahisi wapalestina wa 1970 ndio Hawa wa leo?

Hawa watapigwa life time, hakuna siku wataamka, hawa watakucha chini ya Israel life time, ngoja uone.
 
Israel alichofanywa jana sijapenda.

Ila Waarabu watalipwa kwa vifo, ni swala la muda kabla vilio havijatawala
Mkuu wamesha anza kulipwa maana mpaka sasa majibizano ya silaha yanaendelea ila pande zote zinaumia sana kwenye mgogoro huu maana mpaka sasa Israel imesha poteza zaidi ya watu 400 na upande wa palestina umesha poteza zaidi ya watu 300 .

Na bado mapigano makali sana yanaedelea kusini mwa Israel kati ya hamas na jeshi la Israel na mashuhuda wana sema maafa ni makubwa sana kwenye makabiliano hayo.
 
Wamepiga hadi misikiti na kuisambaratisha maana magaidi yalikimbilia humo ndani ili yafie karibu na 'miungu'. yao....

Mosque destroyed in an Israeli airstrike in Khan Younis, Gaza Strip


A mosque lies in ruins Sunday following an Israeli airstrike in Khan Younis, in the Gaza Strip.

(Yousef Masoud / Associated Press)
Israel pressed its relentless bombing campaign on Gaza overnight and into early Sunday, firing a continuous barrage on the Hamas-ruled coastal strip as it battled to regain control after the deadliest attack on its own soil in 50 years.

As the fighting around Gaza continued, alarm over a wider regional conflagration grew after Hezbollah, the Lebanese Shiite militant group and political party, said in a statement Sunday that it had launched artillery and guided rockets on three posts on the Israeli-occupied Shebaa Farms in southern Lebanon “in solidarity” with the Palestinian people. The attacks were intended to “liberate what remains of our occupied land,” Hezbollah said, adding that an Israeli drone destroyed a Hezbollah tent in the area.

Israeli forces said in a statement on the messaging app Telegram that their retaliatory bombing campaign had hit 10 Hamas targets in multistory buildings in Gaza, including the group’s intelligence headquarters and a military compound, as well as a weapons production site and an arms storage area belonging to the Islamic Jihad militant group.
Hizo namba umezipata wapi vyombo vya habari hapa vinasema ni 300
 
kama wameshindwa kukaa kwa amani watimuliwe tu, wakaishi ukimbizini magaidi hao wanaotumia raia kama kinga yao, gaza itekwe tu, kama mbwa na iwe mbwa, uchokozi hauvumiliki

Unaongea ukiwa wapi?

Kitakachowakuta hao mayahudi hamtaamini, tena natamani sana nikaunganenao kuwasaidia, sasa wewe nenda kajichanganye ukawasaidie hao mayahudi kama nitawaacha
 
[emoji1093][emoji1134][emoji3517] In Alexandria, a policeman shot dead two Israeli tourists

An Egyptian policeman shot dead two Israeli tourists in the city of Alexandria in northern Egypt, the Sada el-Balad TV channel reports, citing a security source.

According to the TV channel, one of the policemen opened fire indiscriminately at an Israeli tourist group, killing two Israelis and one Egyptian citizen. It is reported that another Egyptian was injured.

A security source said the policeman had been detained and his motives are being investigated.

[emoji837]@DDgeopolitics
 
Broo I believe what I see.
Hizo story zipo nyingi sana, hata ukikutana na wayahudi nao watakuadisia unyama waliofanyiwa na palestine, kila mmoja analalamika, kila mmoja anajijitetea, kila anajiona ana haki.

Hata Hitler ukimfufua atakuelezea kwann aliamua kuwafanyie vile wayahudi(holocaust), kila mtu ana sababu zake za kuua.

I think cha kujiuliza ni kwamba, Is killing your enemies the only best option?

Utaua hadi lini? mwenzako amekutoa kweny ardhi ana sababu zake, tangia enzi za King David(B.C) wayahudi walijenga hekalu kubwa pale maeneo yote yale yalikuwa yao, na palestine nao wanasababu zao, hawawatambui wayahudi kwamba wao ndo wenyeji wa pale, sasa upande mmoja ukipigwa, wanaenda kujikoki wanarudi tena, upande mwingine ukipigwa nao wanaenda kujitengeneza, wanarudi tena kuuana, hivo hivo kila siku miaka nenda rudi, Itaisha lini hio hali? wamama na watoto wanakufa kila siku kwasababu wanaume mnashindwa kukaa chini mka solve differences zenu, mnarithisha vita kwa watoto wenu ambao hata hawakuwepo wakati mnagombania ardhi.
Yaaah ni kweli mkuu....hata waislam wanamtambua king David Kama nabii daudi ..na sabab ya baadhi Yao kutosherehekea maulid ni sabab ya daudi kushangilia ushindi Hadi akavua nguo, wanashea ancestors... Ila Sisi mashabiki wa Vita tuliopo bongo tukiskia yakub, Suleiman ,daud na wengineo tunahis Kama Palestinian hawahusiki nao...hao ndugu wanagombea ardhi....put Bible evidence behind they are just tales to narrate,
 
WANA

Wanajiona wanadamu first class halafu hao palestinians ni daraja la pili.
Tena bado hawa Hamas hawatatulia na Palestine wanaungwa mkono na wengi kwa udhalimu wa wayahudi
Nguvu zao zimepungua siku hadi siku kwa sababu wameyataka wenyewe kwa kuhamasisha ushoga

Alexandria Egypt wameuwawa jews wawili na watawindwa sana safari hii
 
Back
Top Bottom