LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
Ukraine inavamiwa.

Mtu anasapot Ukraine kujilinda.

Palestina inavamiwa.

Anaishangaa Palestina kujilinda
Palestine imevamia na kuua hiyo ni retaliation ya walichokifanya ukichagua vita jipange.
 
Najua ni mwendelezo wa ushabiki wako kwa mabeberu na washirika wao na chuki zao dhidi ya wafutao usawa na ustawi wa dunia.🤔

Hayo ya usawa na ustawi ya duni hukuyajua mlipokua mnachekelea jana, mkipigwa mnaanza kuibuka na misamiati ya kifisolofia, pigweni kwanza, hiyo Gaza inageuzwa kuwa shamba na haitokalika miaka 50 ijayo

 
BREAKING:

A British citizen as among the people kidnapped by Hamas yesterday
 
Kwahyo unataka kusema mkuu huyo askari huko misr ameona ajichukulie sheria mkononi kusapoti operation al aqsa?!.
 
Dah mambomu ya Israel bana, inashusha jengo lote mazima

 
Palestina wameyataka wenyewe wacha wakipate cha mtema kuni dadekiiii
 
Wafuasi wa munyaazi mungu shida yenu ni kwamba wakat wenzenu wanadamka asubhi kwenda shule nyie mnawahi madrasa, kama ubongo wako haujajaa maandishi ya kiarabu emu google #6 days war.
Nitadili na wewe Mpumbavu mpaka kieleweke na nakusubiri utokee ,umeniambia ni Gugo haya gugo ushahidi ni huo nchi tatu(3) ndizo ambazo zimeshiriki hiyo vita .

Halafu ulivyo mjinga mimi sijambishia huyo jamaa alivyodai zilikiwa nchi 5 na nchi hizo zikachukuliwa maeneo yao bali nilimtaka ushahidi ,maana mtu mwerevu hawezi kuukubali jambo mpaka ushahidi wa haki uweke mezani.


Cha kuongezea Six day war unaweza kusema haikuwa vikali kama vile vya October (Yom Kippur /Ramadhaan War) ,hakukuwa na makabiliano wala mapigano ya pande mbili ya maana zaidi ya Israel kuotea sehemu muhimu za kijeshi za upinzani kupiga makombora na kufanya wapinzani wameduaa ..
 
Wapalestina sahizi wanaogelea mvua ya makombora wameshalambishwa mchanga kama 256 huko Gaza na netanyahuu ameapa kuwageuza vifusi

Sent from my Infinix X663 using JamiiForums mobile app
Wanamgambo 400 tayari wameshafyekwa huku vifo vingine zaidi ya 390+ viki ripotiwa ndani ya Gaza. Raia wameshaamliwa kuondoka, maana kuna kila dalili pale gaza pakalimwa kwa makombora na kusawazisha ili papandwe mizeituni na zabibu
 
Tayari mtu kashapigwa mbona... Wapalestina saaa hivi wanakula makombora tu huko mapaka sasa zaidi ya wapalestina 250 wamesharipotiwa kufariki.... Angani ni mwendo wa makombora tu, huku Hamas wenyewe wakiteka waisraeli
Hao waliotekwa wanaelekezwa kibla na kupigwa kisu. Hapo ngoma droo.
 
Ndo maana hata malaika mtoa roho mmemwita Israeli, kuonesha jinsi gani mnavoichukia Israeli.

Kwaio mkiona Israeli inapigwa mnaona kama malaika wenu mtoa roho anapigwa.
Haijathibiti kuwa Malakul Mawt anaitwa Izrail (sio Israil kama ulivyoelewa). Na hapo bado unajitungia kuwa kaitwa hivyo kwa sababu ya chuki dhidi ya Israel. Israil ni jina la Mtume wa Allah Ya'aqub (Amani iwe juu yake). Tutalichukiaje jina hilo? Na Nabii Ya'aqub yuko mbali kabisa na hawa maadui wa Allah na maadui wa Mitume.
 
IDF says it is evacuating civilians from the following towns: Nahal Oz, Erez, Nir Am, Mefalsim, Kfar Aza, Gevim, Or Haner, Ibim, Netiv Ha'asara, Yad Mordecai, Karmia, Zikim, Kerem Shalom, Kissufim, Holit, Sufa, Nirim, Nir Oz, Ein HaSlosha, Nir Yitzhak, Be'eri, Magen, Reim, Sa'ad and Alumim.
 
Huo mgogoro utasaambaa Mashariki ya Kati yote na katika nchi za kiarabu..

Mark this comment.
 
The house of Hamas Spokesman and leader Fawzi Barhoum was targeted by a recent airstrike in Rafah.
 
BREAKING:

Intense battles are taking place right now in Ashkelon

Hamas claims that they manage to land on the beaches of the city this morning with 5 boats, but it is far from confirmed.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…