Muju4
JF-Expert Member
- Oct 27, 2014
- 5,489
- 7,446
Palestine imevamia na kuua hiyo ni retaliation ya walichokifanya ukichagua vita jipange.Ukraine inavamiwa.
Mtu anasapot Ukraine kujilinda.
Palestina inavamiwa.
Anaishangaa Palestina kujilinda
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Palestine imevamia na kuua hiyo ni retaliation ya walichokifanya ukichagua vita jipange.Ukraine inavamiwa.
Mtu anasapot Ukraine kujilinda.
Palestina inavamiwa.
Anaishangaa Palestina kujilinda
Najua ni mwendelezo wa ushabiki wako kwa mabeberu na washirika wao na chuki zao dhidi ya wafutao usawa na ustawi wa dunia.🤔
Kwahyo unataka kusema mkuu huyo askari huko misr ameona ajichukulie sheria mkononi kusapoti operation al aqsa?!.Tena bado hawa Hamas hawatatulia na Palestine wanaungwa mkono na wengi kwa udhalimu wa wayahudi
Nguvu zao zimepungua siku hadi siku kwa sababu wameyataka wenyewe kwa kuhamasisha ushoga
Alexandria Egypt wameuwawa jews wawili na watawindwa sana safari hii
Nitadili na wewe Mpumbavu mpaka kieleweke na nakusubiri utokee ,umeniambia ni Gugo haya gugo ushahidi ni huo nchi tatu(3) ndizo ambazo zimeshiriki hiyo vita .Wafuasi wa munyaazi mungu shida yenu ni kwamba wakat wenzenu wanadamka asubhi kwenda shule nyie mnawahi madrasa, kama ubongo wako haujajaa maandishi ya kiarabu emu google #6 days war.
Wanamgambo 400 tayari wameshafyekwa huku vifo vingine zaidi ya 390+ viki ripotiwa ndani ya Gaza. Raia wameshaamliwa kuondoka, maana kuna kila dalili pale gaza pakalimwa kwa makombora na kusawazisha ili papandwe mizeituni na zabibuWapalestina sahizi wanaogelea mvua ya makombora wameshalambishwa mchanga kama 256 huko Gaza na netanyahuu ameapa kuwageuza vifusi
Sent from my Infinix X663 using JamiiForums mobile app
Hao waliotekwa wanaelekezwa kibla na kupigwa kisu. Hapo ngoma droo.Tayari mtu kashapigwa mbona... Wapalestina saaa hivi wanakula makombora tu huko mapaka sasa zaidi ya wapalestina 250 wamesharipotiwa kufariki.... Angani ni mwendo wa makombora tu, huku Hamas wenyewe wakiteka waisraeli
Usiombe amani wakati wa vita ,omba ushindiTuiombee amani dunia, tuepuke kushabikia vifo, hatujui kesho yetu
Haijathibiti kuwa Malakul Mawt anaitwa Izrail (sio Israil kama ulivyoelewa). Na hapo bado unajitungia kuwa kaitwa hivyo kwa sababu ya chuki dhidi ya Israel. Israil ni jina la Mtume wa Allah Ya'aqub (Amani iwe juu yake). Tutalichukiaje jina hilo? Na Nabii Ya'aqub yuko mbali kabisa na hawa maadui wa Allah na maadui wa Mitume.Ndo maana hata malaika mtoa roho mmemwita Israeli, kuonesha jinsi gani mnavoichukia Israeli.
Kwaio mkiona Israeli inapigwa mnaona kama malaika wenu mtoa roho anapigwa.
Wakati huohuo raia na wanajeshi wa Israel wanashikiliwa mateka na HAMAS na muda wowote wanaelekezwa kibla na kupigwa kisu.Wapalestina sahizi wanaogelea mvua ya makombora wameshalambishwa mchanga kama 256 huko Gaza na netanyahuu ameapa kuwageuza vifusi
Sent from my Infinix X663 using JamiiForums mobile app
Kulishawahi kuwepo na taifa linaloitwa Palestine?Ukraine inavamiwa.
Mtu anasapot Ukraine kujilinda.
Palestina inavamiwa.
Anaishangaa Palestina kujilinda
Na Mimi naona itakuwa kama gharika aise!Nataka nijue kama Ndio dalili za Ule mwisho