LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
Katiks ulimwengu wa sasa taifa linalofahamika kuwa ni la Israeli ni hilo linaliingozwa na Netanyau. Na ndio taifa ambalo dunia nzima wanaoamini katika kitabu chs biblia wanaogopa kuwakemea eti kisa nao watalaniwa.
Imeandikwa "... atakae ilani Israel nae atalaaniwa" ndio maana walokole na wakatoliki wengi wanaogopa. Swali ni kua, Israel hiyo ni ipi? Yenye watu wapi? Wa mfumo upi?

Au ni hii ya LGBTQ?
 
Ngoja ile team "God bless israel" wafike.

Umeyatimbaaa!
Wale kama wafuasi wa mwamposa huwaambii kitu ,aliyoweka ule mstari wa kuibariki israel aliwapata kweli kweli maana wameingia kichwa kichwa, wwarabu wanailaani kila siku na mungu huyu huyu anazidi kuwabariki ,ukweli usiopingika hela sasahivi ipo uarabuni ukibisha muulize ronaldo huku ulaya wameyatimba kwa urusi wanahaha kila kona kwa njaa
 
Majibu ya Israel huwa ni ya kikatili mark my words huu ndo mwisho wa hamas na mwanzo wa maisha mabaya sana kwa wapalestina
Mwisho wa Hamas "hapana". Kulipiza ndio Israel watatumia nguvu sana.
 
Israeli LILIKUWA taifa teule la Mungu

Tangu walipoua manabii wa Mungu na kumkataa Yesu walipoteza sifa ya kuwa taifa la Mungu

Dini yenyewe ya taifa Uyahudi, mafundisho yake hayapatani na Biblia

Hawamwamini Yesu

Watawezaje kuwa taifa teule la Mungu?
 
Kama nawaona wafuasi wa munyaazi mungu wanavyokenua ila muda SI mrefu furaha itageuka vilio.
Kwanini mnakosa kutumia vichwa vyenu..
Mgogoro wa Israel na Palestine sio wa kidini, msichanganye mambo
 
Kujua ni jambo moja, kuzuia ni jingine..
 
God Bless and save Israel.
Kutenda dhambi kwa kikundi cha watu haimaanishi Taifa Zima wanakubaliana na hilo.

Je rushwa iliyopo hapa bongo inamaanisha wote ni wala rushwa? Nipe jibu .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…