Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Imeandikwa "... atakae ilani Israel nae atalaaniwa" ndio maana walokole na wakatoliki wengi wanaogopa. Swali ni kua, Israel hiyo ni ipi? Yenye watu wapi? Wa mfumo upi?
Au ni hii ya LGBTQ?
Ngoja ile team "God bless israel" wafike.
Umeyatimbaaa!
Hamas na wao wamepata vifaru vichache jana.Just in: Dozens of Israeli tanks headed toward the Gaza border
Wameharibu vifaru viwili, hivyo intact hawawezi vuka navyo mpakaHamas na wao wamepata vifaru vichache jana.
View attachment 2775443
Wale kama wafuasi wa mwamposa huwaambii kitu ,aliyoweka ule mstari wa kuibariki israel aliwapata kweli kweli maana wameingia kichwa kichwa, wwarabu wanailaani kila siku na mungu huyu huyu anazidi kuwabariki ,ukweli usiopingika hela sasahivi ipo uarabuni ukibisha muulize ronaldo huku ulaya wameyatimba kwa urusi wanahaha kila kona kwa njaaNgoja ile team "God bless israel" wafike.
Umeyatimbaaa!
Naw umekariri...sio Wapalestina wote ni waislam.. na sio Waisraeli wote ni wakristo. .Ngoja Israel..nao wawajibu hao wavaa kobasi tusikie milio
Life haliko sawa hata kidogo..Ukraine inavamiwa.
Mtu anasapot Ukraine kujilinda.
Palestina inavamiwa.
Anaishangaa Palestina kujilinda
Mwisho wa Hamas "hapana". Kulipiza ndio Israel watatumia nguvu sana.Majibu ya Israel huwa ni ya kikatili mark my words huu ndo mwisho wa hamas na mwanzo wa maisha mabaya sana kwa wapalestina
Tena takwimu zinasema 61% wanaunga mkono ushogaImeandikwa "... atakae ilani Israel nae atalaaniwa" ndio maana walokole na wakatoliki wengi wanaogopa. Swali ni kua, Israel hiyo ni ipi? Yenye watu wapi? Wa mfumo upi?
Au ni hii ya LGBTQ?
Itakuwa ni Ile ya kwenye vitabuImeandikwa "... atakae ilani Israel nae atalaaniwa" ndio maana walokole na wakatoliki wengi wanaogopa. Swali ni kua, Israel hiyo ni ipi? Yenye watu wapi? Wa mfumo upi?
Au ni hii ya LGBTQ?
Kwanini mnakosa kutumia vichwa vyenu..Kama nawaona wafuasi wa munyaazi mungu wanavyokenua ila muda SI mrefu furaha itageuka vilio.
ExactlyKitabu cha Mungu kama ningeandika mimi wasukuma wote ningewaweka kwenye daraja maarumu na wangepata kinga kubwa kwa kuwatisha makabila mengine.
Hicho ndicho walichofanya walioandika kitabu kile.
Kujua ni jambo moja, kuzuia ni jingine..Kwa jinsi shirika la kijasusi la Israeli la mossad lilivyo na uwezo mkubwa Basi hii inanifanya niamini huenda hili jambo walikua wanalijua litatokea hivyo wameacha kwa makusudi kabisa litokee ili kuonyesha dunia uchokozi wa hamas na kupata sapoti kubwa pale watakapoanza kujibu mapigo, na hili linaenda sambamba kabisa na suala la Saudi Arabia na Israeli kutaka kuestablish diplomatic relationship. Hivyo Kuna mchezo Hamas na palestina wanachezewa bila kujua.
God Bless and save Israel.Huwa sielewi kabisa hàsa pale ninapokuta jitu jeusiii tii Swahili kutoka moja ya nchini maskini kabisa duniani linaposhabikia ya kuwa eti taifa la Israeli ni taifa teule (taifa la Mungu) mpaka kufikia kuunga mkono hata mauaji ya watu wasio na hatia (waPalestina).
Tena wengine wanaenda mbali zaidi ya kuwa eti oohh! Ukimbariki Israeli nawe umebarikiwa, mara oohh'' sijui ukimlaani nawe umelaaniwa!!
Anyway, basi kama ndivyo hivyo basi mbona hambariki na mambo ya LGBTQ+, mambo ya gay parades, pride match, etc, yaliyohalishwa katik taifa hilo!??
Mimi mkiniambia labda huyo mungu wao ambaye wanamuambu, which obviously ni Baal ni mungu wenu pia mnayemuabudu hapo nitawaelewa lakini sio MUNGU huyu nayemjua mimi ambaye ni Alfa na Omega.
Muwe na jumapili njema enyi wayahudi weusi.
Moderators : Naomba msiuguse huu uzi.View attachment 2775436View attachment 2775437View attachment 2775438View attachment 2775440