matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 7,968
- 19,368
Urusi ingewaambia watu wa Kiev hivi, dunia nzima ingelia na kulalamika.Jeshi la Israel lililipua nyumba huko Khan Yunis, kusini mwa Ukanda wa Gaza, na kumuua kila mtu pamoja na watoto zaidi ya 5!, wapiganaji wa Hamas wamekuwa wakijificha ndani ya makazi ya watu ili mashambulizi yawe na kinga dhidi ya haki za binadamu ! Mapema leo Israel imewaambia wakazi wa Gaza wahame wenyewe maana Operation ya kuingia Gaza kabisa inaanza muda si mrefu
Kinachofanyika kwa sasa ni kuhakikisha mipaka yote ya Israel Iko salama Kisha kitakachofuata hao wavaa kobazi wajiandae kwenda kuchakata bikira 72 huko kuzimu.Mpaka muda huu, tulitegemea palestina yote iwe ni sehemu ya Israel; wanakwama wapi?
MUNGU wa baba yetu wa mbinguni, ndiye Mungu Bwana w majeshi.Ficha ujinga wako
300+na vifo vya wapalestina vime fika vingapi bwana Hammaz?
Huwa sielewi kabisa hàsa pale ninapokuta jitu jeusiii tii Swahili kutoka moja ya nchini maskini kabisa duniani linaposhabikia ya kuwa eti taifa la Israeli ni taifa teule (taifa la Mungu) mpaka kufikia kuunga mkono hata mauaji ya watu wasio na hatia (waPalestina).
Tena wengine wanaenda mbali zaidi ya kuwa eti oohh! Ukimbariki Israeli nawe umebarikiwa, mara oohh'' sijui ukimlaani nawe umelaaniwa!!
Anyway, basi kama ndivyo hivyo basi mbona hambariki na mambo ya LGBTQ+, mambo ya gay parades, pride match, etc, yaliyohalishwa katik taifa hilo!??
Mimi mkiniambia labda huyo mungu wao ambaye wanamuambu, which obviously ni Baal ni mungu wenu pia mnayemuabudu hapo nitawaelewa lakini sio MUNGU huyu nayemjua mimi ambaye ni Alfa na Omega.
Muwe na jumapili njema enyi wayahudi weusi.
Moderators : Naomba msiuguse huu uzi.View attachment 2775436View attachment 2775437View attachment 2775438View attachment 2775440
Hao ni ndani ya Gaza, je umehesabu wale militants waliofyekwa ndani ya Israel na bale maeneo ya border? Maana walidanganywa kuwa wakishaingia na kukimbilia kwa wingi ndani ya Israel hawatafanywa kitu sababu itaonekana ni mauaji ya halaiki yakifanywa mbele ya vyombo vya habari dunia ikishuhudia.Namba sahihi ni waisraeli 350 na wapalestina 300 na zaidi.
Nadhani jamaa alipandwa na mori wa kimisr akaona na yeye acontribute kidogo kwenye operation.Hapana hayo sio maneno yangu ila nafuatilia tu news pande zote
Ila nasikia na yeye kauwawa sasa sijui ni sawa au
Yalikuwa maamuzi yake tu kama yule mjeda aliemuuwa Anwar miaka ile
Wale kama wafuasi wa mwamposa huwaambii kitu ,aliyoweka ule mstari wa kuibariki israel aliwapata kweli kweli maana wameingia kichwa kichwa, wwarabu wanailaani kila siku na mungu huyu huyu anazidi kuwabariki ,ukweli usiopingika hela sasahivi ipo uarabuni ukibisha muulize ronaldo huku ulaya wameyatimba kwa urusi wanahaha kila kona kwa njaa
Israeli LILIKUWA taifa teule la Mungu
Tangu walipoua manabii wa Mungu na kumkataa Yesu walipoteza sifa ya kuwa taifa la Mungu
Dini yenyewe ya taifa Uyahudi, mafundisho yake hayapatani na Biblia
Hawamwamini Yesu
Watawezaje kuwa taifa teule la Mungu?
Watu weusi wote wanaoishabikia Israeli mambumbumbu and equally kwa weusi waislamu wanaowashabikia WaPalestina; Mwisho wa siku si wayahudi au wazungu au waarabu wanatupenda cc watu weusi. Lets mind our business tu. Utakuta mtu mweusi desperate kuishabikia Israel au mtu mweusi muislamu desperate kujifanya kuitetea Palestina wakat hao watu wote hata hawaijui Tz ipo wap 99% and hata hawaijali[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]