LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
Jeshi la Israel lililipua nyumba huko Khan Yunis, kusini mwa Ukanda wa Gaza, na kumuua kila mtu pamoja na watoto zaidi ya 5!, wapiganaji wa Hamas wamekuwa wakijificha ndani ya makazi ya watu ili mashambulizi yawe na kinga dhidi ya haki za binadamu ! Mapema leo Israel imewaambia wakazi wa Gaza wahame wenyewe maana Operation ya kuingia Gaza kabisa inaanza muda si mrefu
Urusi ingewaambia watu wa Kiev hivi, dunia nzima ingelia na kulalamika.

Nimegundua warusi ni wastaalabu sana.
 
Watu weusi wote wanaoishabikia Israeli mambumbumbu and equally kwa weusi waislamu wanaowashabikia WaPalestina; Mwisho wa siku si wayahudi au wazungu au waarabu wanatupenda cc watu weusi. Lets mind our business tu. Utakuta mtu mweusi desperate kuishabikia Israel au mtu mweusi muislamu desperate kujifanya kuitetea Palestina wakat hao watu wote hata hawaijui Tz ipo wap 99% and hata hawaijali😂😂😂😂
 
We’re in Sderot. Horrible scenes throughout the town. Blood stained sidewalks, cars in the middle of the road with blinkers still flashing. Bullet holes in the windshields. This is the police station where 10 officers were killed. It was destroyed overnight by the Israelis.
 

Attachments

  • 20231008_145147.jpg
    20231008_145147.jpg
    217 KB · Views: 3
Israeli units are picking up rockets that continue to rain down on Sderot.
20231008_145303.jpg
 
Factions in Gaza continue to launch short range rocket attacks against areas in the Gaza envelope in an effort to assist any members currently still operating there as the IDF evacuate the remaining civilians.
 
Huwa sielewi kabisa hàsa pale ninapokuta jitu jeusiii tii Swahili kutoka moja ya nchini maskini kabisa duniani linaposhabikia ya kuwa eti taifa la Israeli ni taifa teule (taifa la Mungu) mpaka kufikia kuunga mkono hata mauaji ya watu wasio na hatia (waPalestina).

Tena wengine wanaenda mbali zaidi ya kuwa eti oohh! Ukimbariki Israeli nawe umebarikiwa, mara oohh'' sijui ukimlaani nawe umelaaniwa!!

Anyway, basi kama ndivyo hivyo basi mbona hambariki na mambo ya LGBTQ+, mambo ya gay parades, pride match, etc, yaliyohalishwa katik taifa hilo!??

Mimi mkiniambia labda huyo mungu wao ambaye wanamuambu, which obviously ni Baal ni mungu wenu pia mnayemuabudu hapo nitawaelewa lakini sio MUNGU huyu nayemjua mimi ambaye ni Alfa na Omega.

Muwe na jumapili njema enyi wayahudi weusi.

Moderators : Naomba msiuguse huu uzi.View attachment 2775436View attachment 2775437View attachment 2775438View attachment 2775440

Unakuta mpumbafu mmoja mweusi tii,anaitetea palestina kisa ni wavaakobazi wenzake huo ni upumbafu.
 
Kwa wale wasiomfahu huyu mungu Baal(Bael, au Baell)

Ni mmoja kati ya malaika waasi walitupwa kutoka mbinguni; miungu ya zamani ambayo watu wa Kaanani ( baadae wanaokuja kufahamika kama wana wa Israeli) walikuwa wakiiabudu (SOMA 1 WAFALME 20:-40).

Wana wa Kaanani wilikuwa wakitoa kafara ya kuteketeza kwa moto watoto wadogo kwa mungu Baal.

Inasemakana Baal ana vichwa vitatu, kimoja cha mwanadam, cha chura na cha paka.

Pia sanamu ya ng'ombe, au mwanadamu mfano wa ng'ombe hutumika ku present Baal.


In hell, Baal rules inventions and discoveries.


Baal.jpeg
images%20(10)_1696766055612.jpeg
 
Namba sahihi ni waisraeli 350 na wapalestina 300 na zaidi.
Hao ni ndani ya Gaza, je umehesabu wale militants waliofyekwa ndani ya Israel na bale maeneo ya border? Maana walidanganywa kuwa wakishaingia na kukimbilia kwa wingi ndani ya Israel hawatafanywa kitu sababu itaonekana ni mauaji ya halaiki yakifanywa mbele ya vyombo vya habari dunia ikishuhudia.
Sasa hivi Israel haitaki kujua raia na askari wake waliotekwa wamepelekwa wapi wala haijatoa wito wa kutaka waachiwe, so wakiuawa watahesabika wamefia vitani, and Hamas walitaraji labda kwa kuteka raia wengi vile wa Israel itawapelekea Israel kutowashambulia wakiogopa raia wao kuuawa, au wawatumie kama human shield lakini sasa ni kama wamepandwa na kichaa, wanafagia tu.
 
Wale kama wafuasi wa mwamposa huwaambii kitu ,aliyoweka ule mstari wa kuibariki israel aliwapata kweli kweli maana wameingia kichwa kichwa, wwarabu wanailaani kila siku na mungu huyu huyu anazidi kuwabariki ,ukweli usiopingika hela sasahivi ipo uarabuni ukibisha muulize ronaldo huku ulaya wameyatimba kwa urusi wanahaha kila kona kwa njaa

Sijitoe akili uarabuni bila kuungama na western countries ni afadhari hata na afrika,dubai ni uwekezaji wa mzungu ule kuifanya civilization arabia baada yakuonekana ujinga wa dini umewakaa na hawataki kuaacha licha ya kuwa wamepotoka,soon las vegas itahamia the emirate.

Ule upuuzi wa kua nakutenaga wengine kisa dini unaenda kuisha hapo middle east,wazungu sio wajinga.
 
Israeli LILIKUWA taifa teule la Mungu

Tangu walipoua manabii wa Mungu na kumkataa Yesu walipoteza sifa ya kuwa taifa la Mungu

Dini yenyewe ya taifa Uyahudi, mafundisho yake hayapatani na Biblia

Hawamwamini Yesu

Watawezaje kuwa taifa teule la Mungu?

Hapo ndipo hizi imani za dini zimefanikiwa,yani kuwafanya wafuasi wake kuwa ma ndezi na mazombi.
 
Well said mkuu[emoji1376]
I second you.
Watu weusi wote wanaoishabikia Israeli mambumbumbu and equally kwa weusi waislamu wanaowashabikia WaPalestina; Mwisho wa siku si wayahudi au wazungu au waarabu wanatupenda cc watu weusi. Lets mind our business tu. Utakuta mtu mweusi desperate kuishabikia Israel au mtu mweusi muislamu desperate kujifanya kuitetea Palestina wakat hao watu wote hata hawaijui Tz ipo wap 99% and hata hawaijali[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hebrew Channel 12: "More bodies of Israelis have been found ... the death toll will rise significantly."
 
Back
Top Bottom