matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 7,968
- 19,368
Urusi ingewaambia watu wa Kiev hivi, dunia nzima ingelia na kulalamika.Jeshi la Israel lililipua nyumba huko Khan Yunis, kusini mwa Ukanda wa Gaza, na kumuua kila mtu pamoja na watoto zaidi ya 5!, wapiganaji wa Hamas wamekuwa wakijificha ndani ya makazi ya watu ili mashambulizi yawe na kinga dhidi ya haki za binadamu ! Mapema leo Israel imewaambia wakazi wa Gaza wahame wenyewe maana Operation ya kuingia Gaza kabisa inaanza muda si mrefu
Nimegundua warusi ni wastaalabu sana.