Mkuu hali ni mbaya sana na dalili za mwisho wa Dunia tunaziona, tuombe Mungu sanaHahaahah mstari wa mwisho nimecheka sana, mpaka kesho tutaskia mengi lakini kwa walivyo na propaganda naona hali ni mbaya kukiko hata wanavyotusimulia.
SawaMoravian
Kawaida kote mkuuMoravian wanarogana sana kupata vyeo
Huwa wanakufa kabisa mkuu na hakuna sehemu mbaya kama reporter kupelekwa frontYule Dada wa Jazeera Gaza jana Ghorofa lilishushwa nyuma yake akapanick😁 akaanza kulia.
Huu Mgogoro unataka Waandishi waliokomaa na wenye ku Balance habari bila kuvutia upande mmoja.
Naroli mkamu wanguYeah,bas ndiyo siye mkuu
Wapalestina wote wameandalwa toka tumboni. Nchi yao ipo chini ya wayahudi miaka zaidi ya 75 sasa.Wamewaandaa na raia pia? Au wanasema kujiandaa wao kijehi?
Hao wanakuwa ngao yao ya mashambulizi ya israel, tena wanawaambia kabisa, sisi tunawaweka mtapata kila kitu, kama kuuliwa mtauliwa na wayahudi wenzenu.Sijui wanataka kuwafanyaje jamani?
Naona sasa umegeuka kuwa msemaji wa serikali ya Israeli 🤣Hapana msituko, kutakuwa na kutokuelewana miongoni viongozi wa serikali ya Israel. Na watu wa intelijensia lazima walikuwa wanajua kila kitu but inawezekana kuna kitu kilitokea labda walinyimwa budget, walikuwa wanadharauliwa etc. Na hivi vitu hutokea kila sehemu kwa sababu watu wa intelijensia siyo watawala
Wamesema hawatawaachia Hadi wawaachie wafungwa wao walioko kwenye magereza ya IsraelSijui wanataka kuwafanyaje jamani?