Huwa sielewi kabisa hàsa pale ninapokuta jitu jeusiii tii Swahili kutoka moja ya nchini maskini kabisa duniani linaposhabikia ya kuwa eti taifa la Israeli ni taifa teule (taifa la Mungu) mpaka kufikia kuunga mkono hata mauaji ya watu wasio na hatia (waPalestina).
Tena wengine wanaenda mbali zaidi ya kuwa eti oohh! Ukimbariki Israeli nawe umebarikiwa, mara oohh'' sijui ukimlaani nawe umelaaniwa!!
Anyway, basi kama ndivyo hivyo basi mbona hambariki na mambo ya LGBTQ+, mambo ya gay parades, pride match, etc, yaliyohalishwa katik taifa hilo!??
Mimi mkiniambia labda huyo mungu wao ambaye wanamuambu, which obviously ni Baal ni mungu wenu pia mnayemuabudu hapo nitawaelewa lakini sio MUNGU huyu nayemjua mimi ambaye ni Alfa na Omega.
Muwe na jumapili njema enyi wayahudi weusi.
Moderators : Naomba msiuguse huu uzi.
View attachment 2775436View attachment 2775437View attachment 2775438View attachment 2775440