Mhafidhina07
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 3,340
- 4,659
Vita hii haitaisha kamwe na kwa bahati mbaya MUSA aliwaingiza chaka na yesu kapgilia msumari,haiwezekani uondoke sehemu alaf ukute ardhi imekaliwa wewe utumie mabav eti ardh ya baba ako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Human shieldSijui wanataka kuwafanyaje jamani?
Very sad ila hawa vita yao kuisha ni mpaka kiama kinaingia hawaachaniAisee,sad
Wanaoangamia wengi wao ni watoto aiseeVery sad ila hawa vita yao kuisha ni mpaka kiama kinaingia hawaachani
Halafu Israel wanapiga wakijua targets hizo ni nyumba za makaziWanaoangamia wengi wao ni watoto aisee
Aisee, inahuzunisha sana..... Binadamu kwanini kuua wengine tunaona ni kawaida sana? Yaan daaHalafu Israel wanapiga wakijua targets hizo ni nyumba za makazi
Eti vita haina macho hell no
Kulingana na wengi wnaavyocoment hapa....kwamba Ile nch ni Yao waliahidiwa....Hakuna maamrisho hayo wala huna haja ya kumtia dosari muumba wako kwasababu ya propaganda za watu wajinga.
Kabisa wapelekewe moto tu 🤣Hawa bila kuwageuza vifusi watazoea kuchezea wateule. Hamas wameyatimba
Uko kwenye dunia gani.waisrael 600 wameuwa huku wapalestina zaidi ya 300 wameuwa.waisrael ndo wanapelekewa moto.hawakujiandaWavaa kobazi wanapelekewa moto [emoji23][emoji1787][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23]
Kuwa watu wa Mungu ni tofauti na kuwa watoto wa Mungu. Israel ni mzaliwa wa kwanza wangu mimi alisema yehova. Amgusaye ni kama ameigusa mboni ya jicho lake muumba. Mungu wao yu hai, halali wala hasinzii. Shalom IsraelKulingana na wengi wnaavyocoment hapa....kwamba Ile nch ni Yao waliahidiwa....
So wanaoishi hapo wanatakiwa waondoke ....Sasa waende wap?
Siamini katika Mungu huyo....
Naamini Mungu yupo....lakini sio huyo wanaemuongelea Hawa walimwengu...Mungu awezi amrisha kiumbe chake kipoteee.
Sote tu sawa mbele ya macho ya mwenyezi Mungu....haya mambo ya kusema Israel ndo wanastahili kuliko yoyote duniani....ni ujinga watu walioamua kumezeshana.....Kila mtu anastaili mbele ya Mungu....ndo maana kaumba sisi sote
Pumbavu sanaWadukuzi wa Iran' wapenya kwenye mitandao ya makampuni zaidi ya 30 ya Israel
Sep 12, 2023 06:28 UTC
Tovuti ya Israel ya Ynetnews imeripoti kuwa wadukuzi wa Iran wamefanikiwa kupenya kwenye mitandao ya makampuni zaidi ya 30 ndani ya utawala huo haramu wa Kizayuni.
Kwa mujibu wa tovuti hiyo, kampuni ya usalama ya habari ya ESET imegundua kuwa wale iliowaita wadukuzi wa Iran wametumia fursa ya udhaifu uliopo katika seva za barua pepe za makampuni 32 ya Israel kuanzisha kile kiitwacho mlango wa nyuma, uliowaruhusu kujipenyeza kwenye mitandao ya makampuni hayo.
Kampuni moja ya usalama wa mtandao, ambayo imekataa kufichua majina ya makampuni yaliyodukuliwa imesema, wadukuzi hao wa Iran wamedukua pia kampuni nyingine moja nchini Brazil na nyingine katika Muungano wa Falme za Kiarabu (UAE).
Kwa mujibu wa ripoti hiyo, makampuni yaliyodukuliwa yanafanya kazi katika nyanja mbalimbali, ikiwa ni pamoja na bima, dawa, viwanda, mawasiliano, IT, teknolojia, biashara za rejareja, magari, shughuli za kisheria, huduma za kifedha, usanifu majengo na uhandisi wa majengo.
Tovuti ya Ynetnews imeeleza kwamba kundi hilo la wadukuzi lilijitambulisha kwa jina la Ballistic Bobcat, ambalo pia linafahamika kwa majina mengine, likiwemo Charming Kitten, TA543 au PHOSPHORUS pamoja na APT35/42. Imeongeza kuwa, kuna makampuni mengine yasiyopungua 16 ambayo yamehujumiwa na wadukuzi wengine.
Ifahamike kuwa, utawala haramu wa Kizayuni wa Israel umeshailenga mara nyingi Iran kwa hujuma za udukuzi iwe ni moja kwa moja au kwa kuchochea na kutoa uungaji mkono kwa wahusika halisi wa hujuma hizo.
Huko nyuma mnamo mwaka 2012, gazeti la The Washington Post la Marekani iliripoti kuwa Shirika la Usalama la Taifa la nchi hiyo (NSA), shirika lake la ujasusi CIA na jeshi la utawala haramu wa Israel zilishirikiana pamoja kutengeneza programu ya uharibifu iliyopewa jina la Stuxnet kuhujumu mitambo ya nyuklia ya Iran.
Katika kulipiza kisasi dhidi ya hujuma hizo, inadaiwa kuwa makundi ya wadukuzi wa Iran nayo pia yalizilenga sehemu na vituo kadhaa ndani ya utawala haramu wa Israel.
Huko nyuma mwishoni mwa mwaka 2020, gazeti la kila siku la Israel la Ha'aretz lilidai kuwa kundi la wadukuzi wabobezi lililowatambulisha kuwa ni Wairani lilifanikiwa kupenya hadi kwenye ofisi ya Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu na shirika kuu la teknlojia ya anga la utawala huo.