LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
Mimi ni timu ISRSEL wewe ambaye huipendi nenda kajinyonge chap


Na mtachapika sana tu nyie wazushi
 
US military is planning to move US Navy ships and US military aircraft closer to Israel as a "show of support"
Iran ina Kamikaze Drones zenye ubora wa hali ya juu na zimewapa warusi wigo mpana wa kuendeleza mapambano yake na Ukraine.. Iran atatoa msaada kwa Palestine kwa njia yoyote ile na ikumbukwe ule mpango wake wa kuifuta Israel kwenye uso wa dunia bado haujafa.

Hawa Hamas wanatumika tu ila kuna nguvu kubwa ipo nje inayowaendesha kuyatenda haya.. Hizbollah na Hamas lao ni moja kuhakikisha Iran inakuwa na nguvu mashariki ya kati.
 
The Spokesman for Hamas has stated, “The Movement of the American Aircraft Carrier does not Scare us, and the American Administration must realise the Consequences of this Step.”
 
Tukio walilofanya Palestina hata kama mbeleni ikiwa tofauti ila limewavua nguo MOSSAD na washirika wake M16&CIA.
Ni mpango walioupanga mda mrefu sana halafu usiri walioufanya ni wa hali ya juu hakuna siri kutoka mpaka wamemaliza kazi
Hamas hawana kuremba mambo na hata kama Israel anapiga sehemu zao huko wameweka human shields na wanauwa watu wao pia

Kuna sehemu walikuwa wanacheza na kufurahi wamekuta maiti 200 za Israel
Yaani Netanyahu kachanganyikiwa mpaka anampigia simu comedy Zele wa Ukraine
 
Turkish expert:

📍We are witnessing the war between the intelligence organizations of Iran and Israel
China na Urusi watamtumia Iran kuvuruga maslahi ya USA na hii ni mipango ya muda na USA alishaonya hatari kama CHINA , URUSI na Iran watashirikiana..
 
Iraqi Resistance group Kataib Sayed al-Shuhada statement:

“Palestine is not Ukraine. If America intervenes directly in the events taking place there to stabilize the crumbling entity, all American presence in the region will become legitimate targets for the Resistance
 
US military is planning to move US Navy ships and US military aircraft closer to Israel as a "show of support"
Mkuu kwa nini israel ipewe msaada wa kijeshi wakati haijatumia chochote bado na inapigana na vikundi vya kiraia tu. Nimesikia Biden anataka kumpa msaada wa kutosha. Au kuonyesha support tu.
 
Middle East ni pagumu sana! Amerika akiingilia moja kwa moja patachimbika hapo!

Na israel ikiamua kupiga na kupageuza Gaza kuwa hell makundi mengine ya kiarabu yataingia tu hapo!

Ukitaka kuvuta kumbukumbu nzuri kipindi cha kombe la dunia Qatar. Raia wa kiarabu hawakutaka kabisa kuhojiwa na vituo vya tv vya kizayuni.

Hili suala bado ni gumu mnoo!
 
Akitakq Israel ashinde atafute sababu aishambulie iran na kuipotezea nguvu ya kusupport maadui zake.

Hapa anahangaika tu. Dunia nzima tumeona ameabika na hakuwa makini kulinda raia wake kwa haraka wakati wa kushambuliwa.

Anataka kuua raia wengi ili kurudisha matumaini kwa raia wake.
 
pic.twitter.com/XwjKwigrsL

BREAKING:

The Palestinians entered Tel Aviv

Fighters spotted in Holon on the outskirts of Israeli capital Tel Aviv, Israelis combing the area
❌❌❌❌
Occupier declares the emergency government
 
pic.twitter.com/XwjKwigrsL

BREAKING:

The Palestinians entered Tel Aviv

Fighters spotted in Holon on the outskirts of Israeli capital Tel Aviv, Israelis combing the area
❌❌❌❌
Occupier declares the emergency government
🤣🤣🤣🤣🤣
 
Russian hackers Killnet wanasema wanasupport Palestina.
Wamehack website ya Serikali ya Israel na kutuma ujumbe.

Inawezekana hawa Hamas kama anavyosema kiongozi wao, walihack communication system ya IDF kabla hawajaanza mashambulizi. Wenda wanapata msaada kutoka sehemu nyingi.
 
Back
Top Bottom