LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
Russian hackers Killnet wanasema wanasupport Palestina.
Wamehack website ya Serikali ya Israel na kutuma ujumbe.

Inawezekana hawa Hamas kama anavyosema kiongozi wao, walihack communication system ya IDF kabla hawajaanza mashambulizi. Wenda wanapata msaada kutoka sehemu nyingi.
Haswa. Israel achutame safari hii Hamas Wana Kazi nzito.
 
Rum 11:25-36
Rum 11:25-36 SUV
Kwa maana, ndugu zangu, sipendi msiijue siri hii, ili msijione kuwa wenye akili; ya kwamba kwa sehemu ugumu umewapata Israeli, mpaka utimilifu wa Mataifa uwasili. Hivyo Israeli wote wataokoka; kama ilivyoandikwa, Mwokozi atakuja kutoka Sayuni; Atamtenga Yakobo na maasia yake. Na hili ndilo agano langu nao, Nitakapowaondolea dhambi zao. Basi kwa habari ya Injili wamekuwa adui kwa ajili yenu; bali kwa habari ya kule kuchaguliwa wamekuwa wapenzi kwa ajili ya baba zetu. Kwa sababu karama za Mungu hazina majuto
 
Kuwa watu wa Mungu ni tofauti na kuwa watoto wa Mungu. Israel ni mzaliwa wa kwanza wangu mimi alisema yehova. Amgusaye ni kama ameigusa mboni ya jicho lake muumba. Mungu wao yu hai, halali wala hasinzii. Shalom Israel
Kwa hiyo watu wengine duniani ambao pia ni watoto WA Mungu hawana haki ya kuishi wala kukaa popote isipokua Israel?
Hivi amri ya usiue...ipo hapo hapo kwenye ua wasio WA Israel?
Huyo Mungu wako sio huyu nimjuae....sio
Naamini Mungu yupo....ila huyu mnaemuongelea nyie watu ni kakasi mkubwa sana....
 
Ni mpango walioupanga mda mrefu sana halafu usiri walioufanya ni wa hali ya juu hakuna siri kutoka mpaka wamemaliza kazi
Hamas hawana kuremba mambo na hata kama Israel anapiga sehemu zao huko wameweka human shields na wanauwa watu wao pia

Kuna sehemu walikuwa wanacheza na kufurahi wamekuta maiti 200 za Israel
Yaani Netanyahu kachanganyikiwa mpaka anampigia simu comedy Zele wa Ukraine
Kahawa imekuingia kisawasawa
 
IDF airstrikes continue to be conducted across multiple locations of Gaza as they announce the targeting of two strategic tower locations in the recent hours.
 
As we see, the Israeli army was not at all ready for combat, just like Israeli intelligence. All these years, the Israeli information system has worked perfectly, creating the image of the coolest army in the world, but in fact, it’s nothing.

Maybe that was the purpose - to make it seem like an invincible army so that none of the neighbors would even think about attacking.

Today a second front has opened - Hezbollah has joined in and is bombing Israel from the north. Most likely, other Arab countries will also join. The situation is getting worse.

Hamas armed itself, learned, and stopped being a whipping boy. The weapons most likely came from Afghanistan, abandoned by the Americans, and Ukraine, handed over by all Western countries. Military experts have repeatedly stated this possibility.

Soldiers wearing slippers and using grenades destroy the army along with its equipment, simultaneously taking survivors prisoner. They have already begun training to strike using attack drones.

It is too early to draw any conclusions or predictions. But today one thing is clear - this war will drag on.

Invincible Merkava tanks are burning on the battlefield, and Israeli military personnel, who are supposedly superior in training to five Arab men, are loaded into pickup trucks and taken out as concubines.

A fast, daring, and at the same time well-honed strategy on the part of Hamas made it possible to knock out the perimeter defenses on the border and enter cities and settlements.
 
TIimu Israel karibuni kwa maombi ya kufa mtu bila kusahau kupeana update kuhusu mafanikio ya Israel.

Moods naomba Uzi huu usiunganishwe na Uzi mwingine wowote.
Maombi ya kuua watu wengine
"Ee Mungu tunaomba uue WA palestina '
You guys are not siriaz
Hakuna binadam astailiye kifo ...
Hapa ni kuomba amani Kwa sababu Kuna matukio hayawezi kurudishwa nyuma....kama ku undone walowezi WA kizayuni...
 
Islamic Jihad Leader Ziyad al-Nakhalah speaking from Syria announces that they are holding at least 30 Israelis hostages in Gaza.
 
JUST IN: Search and rescue mission at Nova festival next to Rei’m has been completed, 260 bodies of Israeli civillians were recovered- emergency services
 
Hao wapalestina hawaogopi kifo wameshateseka sana mpaka wamesema liwalo na liwe. Wameonewa sana wamenyanganywa ardhi na wanauwawa kila siku. Sometimes bora kufa shujaa kuliko kufa kifala.
lakini hao waisrael wenyewe wanaogopa kufa na wanapenda maisha kwa sababu wao wana maisha mazuri wamewanyanganya wenzao ardhi zenye rutuba na wamejenga mahekalu. Wapalestina hawana cha kupoteza ila waisrael wao hawapendi kufa sbb wana mali na makazi mazuri.
Ila sasa hapo ni ama warudishe ardhi waliyonyanyanga au waishi bila amani.
 
Maombi ya kuua watu wengine
"Ee Mungu tunaomba uue WA palestina '
You guys are not siriaz
Hakuna binadam astailiye kifo ...
Hapa ni kuomba amani Kwa sababu Kuna matukio hayawezi kurudishwa nyuma....kama ku undone walowezi WA kizayuni...
Kuna watu wanajizima data kwa ukatili ambao miaka mingi Wapalentina wamekuwa wakishuhudia dhidi ya Israel ..
images (69).jpeg


Mwaka huu Israel walifanya operation kali Jenin na kufanya uharibifu mkubwa.
images (34).jpeg


Hili mwaka jana walipofanya uchokozi.
IMG_20220806_174540.jpg
 
🇵🇸⚔️🇮🇱 The streets of Ashkelon and Ashdod filled with Israeli civilian casualties.

#Israel #Palestine #Hamas
IMG_20231008_215927.jpg
 
Maombi ya kuua watu wengine
"Ee Mungu tunaomba uue WA palestina '
You guys are not siriaz
Hakuna binadam astailiye kifo ...
Hapa ni kuomba amani Kwa sababu Kuna matukio hayawezi kurudishwa nyuma....kama ku undone walowezi WA kizayuni...
Hakuna maombi kama hayo ya kutaka mwingine auwe mwingine,
Sikuzote isarel inaombewa amani sawasawa na neno lilivyosema!
 
Back
Top Bottom