Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
Mpaka sasa wamekufa zaidi watu 1000 na idadi inaendeleaAisee, inahuzunisha sana..... Binadamu kwanini kuua wengine tunaona ni kawaida sana? Yaan daa
Tatizo hawataki kuelewana na mbaya zaidi ni Netanyahu amewaondoa kwa nguvu wapalestina kwenye makazi yao na kuwapa wayahudi na kawajengea makazi ya kudumu
Ukiangalia BBC leo wameamua kufunguka ukweli na kuongea mambo yanayoendelea huko
Ni haki kuwachomea mashamba yao ya Olive na kujenga majumba sio sawa
Sasa mateka wanakufa na wanauwawa na majeshi yao