LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
Israeli inachotakiwa kufanya ni kuigeuza Gaza kuwa vifusi isijali wanawake na watoto.Manake wanawake ni wazazi wa magaidi na watoto ni kizazi cha magaidi,wasipokufa sasa hivi mbeleni watakuwa magaidi🤔
 
Yule Dada wa Jazeera Gaza jana Ghorofa lilishushwa nyuma yake akapanick😁 akaanza kulia.

Huu Mgogoro unataka Waandishi waliokomaa na wenye ku Balance habari bila kuvutia upande mmoja.
Huwa wanakufa kabisa mkuu na hakuna sehemu mbaya kama reporter kupelekwa front
Ni kweli kutoa Habari za uhakika ila kuna wengine wanaogopa kusema ukweli
Imekuwa kuviziana tu ila maiti ni wengi sana kwa pande zote
 
Askari kutoka Israel amewamwagia njugu (Risasi) watalii wawili wa kiisrael akiwemo muongoza watalii wa misri na kufa hapo hapo huko mjini Alexandria, Misri walipokuwa wameenda kutalii. Kitendo hicho cha Askari wa misri kuwamwagia risasi watalii wa Israel kinaenda sambamba na chuki ya Wamisri dhidi ya Israel kutokana na vita ya Israel na Palestina. Ikumbukwe Misri na Israel ziliwahi kufuana na kupigana baada ya Misri kutoa sapoti kwa Palestina na kutaka kuingia kinguvu nchi Israel, ambapo misri ilipigwa kipigo cha mbwa koko na kupoteza wanajeshi wengi. Soma huu uzi hapo chini kuelewa zaidi kwa nini misri anamchukia Israel.


Bado kauli rasmi haijatolewa kuhusu tukio hilo.
 
Hapana msituko, kutakuwa na kutokuelewana miongoni viongozi wa serikali ya Israel. Na watu wa intelijensia lazima walikuwa wanajua kila kitu but inawezekana kuna kitu kilitokea labda walinyimwa budget, walikuwa wanadharauliwa etc. Na hivi vitu hutokea kila sehemu kwa sababu watu wa intelijensia siyo watawala
Naona sasa umegeuka kuwa msemaji wa serikali ya Israeli 🤣
 
Israel mobilizing reserve forces to northern theater to reinforce defense lines vs. Hezbollah; Defense Minister Gallant: Prepare to evacuate Israelis from Lebanon border region.
 
IDF now deploying large amounts of units north in the Galilee and the rate of buildup here is reportedly larger than in southern Israel near Gaza border.
 
Kuna watu nimeona kwenye comment za page Fulani wakiomba kuwa Mungu aliangushe taifa la israeli na kukutetea watu Fulani
Mungu sio mbaguzi.

Lakini kuliacha taifa la israeli na kutetea watu wengine ilo wasau kabisa.

Mumelianzisha wenyewe na mnatakiwa kulimaliza wenyewe
Maana hizo ni lawama tu ambazo unamtafutia Mungu mkishindwa na vita vyenu.

Pamoja na kuwa Israeli ni mtoto mkaidi kwa Mungu lakini kamwe hawezi kuacha taifa ili
Na ndo maana katika vitabu vitakatifu Mungu amehidi kuliteketeza taifa ili mwenyewe
 
Israel declares war for the first time since 1973.

The National Security Council approved a state of war in accordance with Article 40 of the Basic Government Law.

Israel considers the war to have started at 6 a.m. on October 7th, 2023
 
Israeli Armor including Merkava Mark lll and lV Main Battle Tanks as well as a number of Self-Propelled Artillery Batteries have begun to arrive at “Staging Areas” in Northern Israel near the Border with Lebanon, in order to Defend against any Aggression that is launched by Hezbollah.
20231008_172345.jpg
20231008_172338.jpg
20231008_172334.jpg
20231008_172331.jpg
 
Back
Top Bottom